Mwanasheria wa LHRC asema Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Kailima amekiuka Katiba ya JMT

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
7,225
Reaction score
9,830

View: https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv

Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.

Wakili msomi Maduhu amesema hakuna Kanuni popote inayosema chama kisiçho saini ati kimejitoa kwene Uchaguzi wa 2025. Huo ni urongo na ukiukwaji wa Katiba ya JMT. Hakuna Kanuni inaweza kuwa above ya Katiba.
Hivo CHADEMA wana ruksa ya kuingia kwenye Uchaguzi labda kama itabidi kuadhibiwa kwa kutosaini hizo Kanuni za maadili ni kuzuiwa kufanya Kampeni na si kuzuiwa kushiriki Uchaguzi wa 2025.

Kwa muktadha huo Kailima amelidanganya Taifa na dunia hivo anatakiwa kuomba radhi.
 
Watanzania tungekuwa na akili tungesusia huu uchaguzi endapo chadema haitoshiriki, sema kwa vile ni wapumbavu tutaenda tu kupiga kura kama manyumbu ikiwa tunajua fika nani atashinda, mtu yeyote anaye support ccm kwa namna fulani ananufaika kimaslahi na si kwamba ni mzalendo
 
View: https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv

Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi.

Wakili msomi Maduhu amesema hakuna Kanuni popote inayosema chama kisiçho saini ati kimejitoa kwene Uchaguzi wa 2025. Huo ni urongo na ukiukwaji wa Katiba ya JMT. Hakuna Kanuni inaweza kuwa above ya Katiba.
Hivo CHADEMA wana ruksa ya kuingia kwenye Uchaguzi labda kama itabidi kuadhibiwa kwa kutosaini hizo Kanuni za maadili ni kuzuiwa kufanya Kampeni na si kuzuiwa kushiriki Uchaguzi wa 2025.

Kwa muktadha huo Kailima amelidanganya Taifa na dunia hivo anatakiwa kuomba radhi.

"Ikiwa unamdai mtu, basi mfuate mtu huyo nyumbani kwake na umwambie kwamba nataka Haki yangu. Endapo kama Mtu huyo hataki kukupatia Haki yako na kisha akafunga milango, vunja mlango na Chukua Haki yako. Na hii itakuwa siyo Vita."

Mwl. J. K. Nyerere.
 
Back
Top Bottom