Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakati dunia ikiwa busy kujiuliza kwanini P Diddy alikutwa na chupa takriban 1000 za mafuta ya watoto kipindi anakamatwa na FBI, mwanasheria wa msanii huyo amejitokeza hivi karibuni kujibu tuhuma hizo.
Akizungumza na TMZ, Marc Agnifilo alisema kuwa Diddy ana nyumba kubwa kwa hivyo ananunua vitu vyake kwa wingi na kwamba kwa Diddy hicho ni kitu cha kawaida sana kwani huwa na Costcos karibu kwenye kila nyumba anayoishi
Soma Pia:

- Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga
- Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000
“He has a big house, he buys in bulk. I think they have Costcos in every place where he has a home.”