Mwanasheria wa P Diddy afichua sababu za rapa huyo kutunza chupa 1000 za mafuta nyumbani kwake

Mwanasheria wa P Diddy afichua sababu za rapa huyo kutunza chupa 1000 za mafuta nyumbani kwake

kwahiyo watoto wanakuja kupakwa mafuta hapo kwake au sijaelewa
Atakua alinunua tu kwa sababu ana nyumba kubwa, si kama alizihitaji kwa matumizi yoyote.

Mawakili wakiulizwa sasa mbona zilikua tupu mafuta alienda wapi? Watasema kile kipindi ambapo joto lilipanda sana mafuta yaliharibika Diddy akaamua kuyamwaga chooni hivyo zikabaki chupa tupu!

Mawakili huwa na akili za kijinga sana
 
sddefault.jpg

Huyu jamaa PDiddy alimuacha kweli?

Hii nyimbo nilikuwa naikubali bump, bump, bump by B2k.
Huyo jamaa alishawahi kuwa na kashfa ya kufanya homosexual na lil bowow . So kwa muktadha huo didy itakuwa alipita nae tu . Inshort hakuna aliyewahi kupita kwa didy then akabaki safe
 
Wakati dunia ikiwa busy kujiuliza kwanini P Diddy alikutwa na chupa takriban 1000 za mafuta ya watoto kipindi anakamatwa na FBI, mwanasheria wa msanii huyo amejitokeza hivi karibuni kujibu tuhuma hizo.

Akizungumza na TMZ, Marc Agnifilo alisema kuwa Diddy ana nyumba kubwa kwa hivyo ananunua vitu vyake kwa wingi na kwamba kwa Diddy hicho ni kitu cha kawaida sana kwani huwa na Costcos karibu kwenye kila nyumba anayoishi

Soma pia: Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga



Na Shetani alivyombaya anakupa Nguvu za kusimamisha Mashine masaa yote bila kupoa Engine.

Ni kama vile Mbinguni tumepewa ahadi kwamba tukimtumikia Mwenyezi Mungu kwa uaminifu tutapewa Wanawake Mabikra 72 na uwezo wa mshine kusimama bila kupoa.
Tofauti Ya Mungu na Shetani, Mwenyezi Mungu atakupa starehe mpaka uwe umefika viwango ila Shetani anakupa starehe hapa hapa Duniani.
 
watasema yote

hakuna mwanasheria mngese kama huyu mjingabkabisaaaaa

kiufupiii hakunaa alieingua jumba la pdidy akasalimikahaya nengine eti atujaoga
 

Attachments

  • 1727349139183.jpg
    1727349139183.jpg
    341.2 KB · Views: 3
  • 1727315772187.jpg
    1727315772187.jpg
    190.6 KB · Views: 3
Kila mwenye nyumba kubwa akinunja chupa 1000 mwanangu hannibal akizaliwa ntapata wapi hii bidhaa ili kuweka ngozi yake sawa kiafya si tutapata matajiri wamemaliza mafuta yote 😂😂😂
 
Basi uache, pdidy kashaharibu soko la baby johnson walah!!.
Yan kwasasa ukienda mliman citu kununua hiz hata 2 tu au hata 1 watu wanaweza kukuangalia kinamna flan
Yani niache kumpaka mtoto mafuta yake kisa huo ujinga?

Wala siendi Mlimani, nina duka langu (Pharmacy) huwa nachukua hapo pekee kwingine huwa yanakuwa feki.
 
Back
Top Bottom