chizi msafi
New Member
- Sep 13, 2024
- 3
- 5
Hoja haina mashiko ata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua alinunua tu kwa sababu ana nyumba kubwa, si kama alizihitaji kwa matumizi yoyote.kwahiyo watoto wanakuja kupakwa mafuta hapo kwake au sijaelewa
Mafuta ya mwanangu hayo hadi nikiyaona naogopa, Diddy jamani!
huwa unampaka mafuta mwanao kama haya??Mafuta ya mwanangu hayo hadi nikiyaona naogopa, Diddy jamani!
Ndio, si mafuta ya watoto hayo jamani?huwa unampaka mafuta mwanao kama haya??
Basi uache, pdidy kashaharibu soko la baby johnson walah!!.Ndio, si mafuta ya watoto hayo jamani?
🤣🤣kwahiyo watoto wanakuja kupakwa mafuta hapo kwake au sijaelewa
🤣🤣Mafuta ya mwanangu hayo hadi nikiyaona naogopa, Diddy jamani!
Huyo jamaa alishawahi kuwa na kashfa ya kufanya homosexual na lil bowow . So kwa muktadha huo didy itakuwa alipita nae tu . Inshort hakuna aliyewahi kupita kwa didy then akabaki safe![]()
Huyu jamaa PDiddy alimuacha kweli?
Hii nyimbo nilikuwa naikubali bump, bump, bump by B2k.
Na Shetani alivyombaya anakupa Nguvu za kusimamisha Mashine masaa yote bila kupoa Engine.Wakati dunia ikiwa busy kujiuliza kwanini P Diddy alikutwa na chupa takriban 1000 za mafuta ya watoto kipindi anakamatwa na FBI, mwanasheria wa msanii huyo amejitokeza hivi karibuni kujibu tuhuma hizo.
Akizungumza na TMZ, Marc Agnifilo alisema kuwa Diddy ana nyumba kubwa kwa hivyo ananunua vitu vyake kwa wingi na kwamba kwa Diddy hicho ni kitu cha kawaida sana kwani huwa na Costcos karibu kwenye kila nyumba anayoishi
Soma pia: Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga
🤣🤣🤣Basi uache, pdidy kashaharibu soko la baby johnson walah!!.
Yan kwasasa ukienda mliman citu kununua hiz hata 2 tu au hata 1 watu wanaweza kukuangalia kinamna flan
Pesa na mali vina siri nyingi asikudanganye mtu.![]()
Huyu jamaa PDiddy alimuacha kweli?
Hii nyimbo nilikuwa naikubali bump, bump, bump by B2k.
Au ya KolieIngekuwa mafuta ya mawese sawa
Yani niache kumpaka mtoto mafuta yake kisa huo ujinga?Basi uache, pdidy kashaharibu soko la baby johnson walah!!.
Yan kwasasa ukienda mliman citu kununua hiz hata 2 tu au hata 1 watu wanaweza kukuangalia kinamna flan
Inaonekana Huko nje kufupakana mafuta ni kawaida watu wanaweka stock kama sisi tunavyoweka stock ya mahindi ndani.Kwa hio kila mwenye nyumba kubwa akinunua chupa za mafuta ya watoto 1000 ni kawaida?