Mwanasheria wa Yanga mkongwe: Yanga tulikurupuka hakukuwa na cha kupeleka CAS

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Screenshot_2025-05-04-07-43-34-304_com.twitter.android.jpg

Kuna wale vidampa wa humu form four failures huwa tunawaambia hawana uelewa,akili na ufahamu wanakuwa wabishi badala ya kujikita tu na kusubiri mialiko ya soup pale Jangwani. Wapo humu watu hawajielewi na wanaofanya sisi Yanga wote tuonekane hatuna akili. Kumbe wenye akili tupo.

Mabosi wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu zilizosababisha kesi kufutwa.
.
Mwanasheria nmzoefu wa masuala ya michezo, Wakili Alloyce Komba aliyewahi kuwa wakili wa Yanga enzi za Yusuf Manji ametaja sababu za kesi hiyo kufutwa na kwamba kila kitu kimeshaisha na Yanga iendelee na mambo mengine tu kwa sasa.
.
Akizungumza, Komba alisema kesi ya Yanga haipo kwa sababu kuu tatu ambazo alizitaja kuwa ni CAS imekosa mamlaka ya kusimamia kesi hiyo, kukosa hukumu iliyoifanya Yanga kukimbilia CAS na kushindwa kukamilisha mchakato kwa kufuata utaratibu.
.
“Kuna ngazi zimerukwa, hivyo CAS wamegundua kanuni ya TFF Ibara ya 26.26 au ukianzia 22 kuna kamati ya rufaa na Yanga haikuanzia huko kwa kufuata mchakato na badala yake wamekwenda moja kwa moja kule,” alisema Komba na kuongeza: “Hakukuwa na uamuzi ambao umetolewa na Bodi ya Ligi na TFF ambao uliifanya Yanga wakate rufaa hukumu waliyokuwa nayo ni kuahirishwa kwa mchezo ambayo imekataliwa na CAS, lakini pia walikuwa na malalamiko ya matumizi ya fedha huku wakiwa hawana viambatanisho.”
.
Alisema kwa mantiki hiyo Yanga ga haina kesi ya kusikilizwa na kuhusu kurudi haoni kama kutakuwa na nafasi kwa sababu kuna ukomo wa kusikiliza kesi za aina hiyo kwa kujaribu kurudi kufuata utaratibu.
.
Komba alisema Yanga inachotakiwa kufanya ni kufuata utaratibu itakaopewa na Bodi ya Ligi hasa kwenye mchakato wa kupokea maelekezo na kutekeleza. “Lakini, Yanga inatakiwa kulinda heshima na rais wa klabu hiyo, Hersi Said ambaye ni kiongozi mkubwa wa CAF wanamuweka kwenye hatari.

[via Mwanaspoti]
 
Kazi ipo
 
Attachments

  • Screenshot_20250504-085933.jpg
    Screenshot_20250504-085933.jpg
    367 KB · Views: 30
View attachment 3324064

Hiyo sio fact ni opinion yake
 
Wewe una ujinga mwwingi na ungekuwa demu ungepewa mimba KILA wiki!!.
Yanga sio wajinga hope wakufanya procedures zote za ndani but tff wakashindwa kutoa ushirikiano kea Yanga!!, TFF wasingeweza kutoa uamzi kuu ya walichokosea Ndio maana Yanga wakaamua kuexpose kilichotokea..... Alichofanya Yanga Ndio anachofanya chadema kudai tume huru ya Uchaguzi kwa dhidi ya mgombea mwenye tume yake.
Karia ni mwanachama wa simba Ndio kiongozi mkubwa wa MPIRA ulitegemea atoe ushirikiano gani dhidi ya Yanga?. Bata maji wewe.
 
Walichokosea uongozi wa Yanga akiwemo Hersi Said ni kushikiwa akili na Haji Manara ambaye aliwaingiza mkenge waende CAS huku wakiikebehi TFF na Bodi ya Ligi, hata kama muda ungekuwepo kwenda kamati ya Rufaa hivi wangepata wapi ujasiri kwenda kwenye taasisi ambayo wameibagaza na kuitweza hadi kuiruka na kwenda CAS, hapa Yanga wamechemsha na aliyewaingiza hili chaka ni Haji Manara mtu asiye na maadili ambaye amewahi kuwatukana wana Yanga wote kuwa hawana akili.
 
Hakuna mwanayanga hata Mmoja anayeweza kupinga anachokitaka kiwe. Kawashika kwelikweli hawana pa kujigeuzia.

Ebu fikiria , mtu kawatukana kwamba wote hawana akili timu nzima halafu wakaja kumpokea na kumpa usemaji wa klabu , hao watu wanajitambua kweli?
 
Wewe una ujinga mwwingi na ungekuwa demu ungepewa mimba KILA wiki!!.
Yanga sio wajinga hope wakufanya procedures zote za ndani but tff wakashindwa kutoa ushirikiano kea Yanga!!, TFF wasingeweza kutoa uamzi kuu ya walichokosea Ndio maana Yanga wakaamua kuexpose kilichotokea..... Alichofanya Yanga Ndio anachofanya chadema kudai tume huru ya Uchaguzi kwa dhidi ya mgombea mwenye tume yake.
Karia ni mwanachama wa simba Ndio kiongozi mkubwa wa MPIRA ulitegemea atoe ushirikiano gani dhidi ya Yanga?. Bata maji wewe.
Dada ule sana malimao. Maana hizo mimba unazopewa kila siku zimekuvuruga sana. Kibaya pia hampendi elimu. Ila mnapenda supu za kibudu na chapati. Hujui hata ulichoandika. Wanawake kama ninyi huwa tunashauri mkae tu jikoni au chumbani. Mtusubirie wanaume tuje kula. Povu linakutoka kila sehemu yako ya wazi.
 
Ushoga wako unataka bwana nikuzibue kipenyo chako?, Njoo ntakuhudumia bata jike wewe.
 
Back
Top Bottom