Mwanasheria wetu Nguli Hashim Rungwe, sema neno kuhusu mkataba wa bandari nyoyo zetu zipone!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo.

Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k

Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi kwa sovereignity yetu, na pengine ni sawa na kugawa Almasi in exchange ya vijiwe vidogovidogo halafu tunatoka hapo tunashangilia kama mazuzu!

Mheshimiwa Rungwe, Mojawapo ya sera yako ilikuwa ni kuhamisha Bahari na kuisogoza Dodoma, na pengine kuweka bandari pale lakini kwa aina ya mkataba huu ni dhahiri project hiyo itakuwa ni ngumu kufanyika maana hawa DP World wamepewa rights nyingi sana za kuweka pua zao katika miradi kama hiyo.

Sasa basi kwa kuwa wewe ni mtaalamu wa sheria. Tena mraalamu aliyebobea kabisa, nakuomba utoe neno kuhusu huu mkataba wa bandari ili nyoyo zetu zipone.

Naomba mtu yeyote aliye karibu na Ndugu Hashim Rungwe, amfikishie ujumbe huu.
 
Type ya hao watu wote akili zao wamezificha kwenye udini hawezi Ongea la maana as long as aliyefanya huo uhuni ni musilamu mwenzao
 
Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo.

Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k

Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi kwa sovereignity yetu, na pengine ni sawa na kugawa Almasi in exchange ya vijiwe vidogovidogo halafu tunatoka hapo tunashangilia kama mazuzu!

Mheshimiwa Rungwe, Mojawapo ya sera yako ilikuwa ni kuhamisha Bahari na kuisogoza Dodoma, na pengine kuweka bandari pale lakini kwa aina ya mkataba huu ni dhahiri project hiyo itakuwa ni ngumu kufanyika maana hawa DP World wamepewa rights nyingi sana za kuweka pua zao katika miradi kama hiyo.

Sasa basi kwa kuwa wewe ni mtaalamu wa sheria. Tena mraalamu aliyebobea kabisa, nakuomba utoe neno kuhusu huu mkataba wa bandari ili nyoyo zetu zipone.

Naomba mtu yeyote aliye karibu na Ndugu Hashim Rungwe, amfikishie ujumbe huu.
Duh. Kumbe Rungwe ni mwanasheria... Seriously!!
 
Safi sana.
 
Back
Top Bottom