Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Hili hata Mzee Mgaya anajuwa.Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema 😄
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
🤣😂👆Ongeza Halima na Covid 19 wamepotea mazima kabisa, Upendo Peneza kwisha, ukicheleweshewa posho zenu za UWT huwa unatema madini sn
ushetanini. Makonda sijui anaendeleajeHakuna sehemu yenye majungu kama CCM
Kutoka kubeba Msalaba wa Yesu hadi kubeba Picha za Chura KiziwiView attachment 3061071
CCM wabaya sana wameamua kumdhalilisha mch Msigwa mchana kweupeee.
Leo asubuhi kapiga chafya ikiashiria bado anapumuaushetanini. Makonda sijui anaendeleaje
John, John leo umekuwa Yohane mbatizaji.Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.
Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.
Nawatakia Dominica Njema [emoji1]
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
View attachment 3061071
CCM wabaya sana wameamua kumdhalilisha mch Msigwa mchana kweupeee.
Huyu tumbili amesahau Chadema ilikomuokota hadi kuwa Mheshimiwa leo anageuzwa karikenya
Mungu amsaidie, japo huwa simkubali ila acha tu. kwani anapatikania pande zipi bossLeo asubuhi kapiga chafya ikiashiria bado anapumua
Hatari sn
Atajua mwenyewe hana maana yoyoteushetanini. Makonda sijui anaendeleaje
Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.
Huyu tumbili Msigwa anavuna matunda ya usaliti wake kwa kugeuzwa bango la kumtangaza chura kiziwiView attachment 3061071
CCM wabaya sana wameamua kumdhalilisha mch Msigwa mchana kweupeee.
Sasa kwani huko upinzani alikojibrand kuna nini cha maana? Hiyo chadema yenyewe si amebaki mtu mmoja tu anayeendesha chama kama kampuni yake binafsi na wafuasi wake ambao ni nyumbu hawana hata uwezo wa kumhoji kitu chochote? Kwa mwanasiasa anayejitambua kuendelea kubaki chadema ni kukidharirisha!Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.