Pre GE2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

Pre GE2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.

Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.

Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.

Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.

Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.

Nawatakia Dominica Njema 😄
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Hili hata Mzee Mgaya anajuwa.
 
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.

Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.

Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine wananufaika na Siasa za CCM.

Mchungaji Msigwa anatamani kumantain umaarufu wake wa CHADEMA akiwa CCM hilo haiwezekani.

Hata Tundu Lisu akija CCM hatakuwa maarufu tena ataonekana kamaMwanasiasa wa kawaida tu.

Nawatakia Dominica Njema [emoji1]
Soma pia: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
John, John leo umekuwa Yohane mbatizaji.
ulonena halina ubishi.
huyu fisadi wa ngono ndo kwishney
 
Attachments

  • FB_IMG_1721892194992~2.jpg
    FB_IMG_1721892194992~2.jpg
    425.4 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1719903155204.jpg
    FB_IMG_1719903155204.jpg
    51.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240702-230508_X.jpg
    Screenshot_20240702-230508_X.jpg
    49.8 KB · Views: 4
Pasta feki hana Jipya, yaani afadhali hata na kina Mdee walau kidogo watu tulishughulika.
 
Msigwa, CCM wamemfanya kinyago. Ukinunuliwa, hata siku moja, aliyekununua hawezi kukuheshimu.
 
Kapi angejifunza kwa waitara,Bora angelinda heshima kwa kustaafu siasa na kurejea uchungaji.
 
Kama ukuweza kujiuza enzi za Maghufuli kwa bei ghali huna jipya kwa zama hizi.Bora ulinde heshima yako kwa kustaafu siasa
 
Msigwa ni wakinga na wengine wapangwa wa Ludewa huko......kwa Marehemu Kolimba...na yule alianguka helicopter na Baba yake Jerry Slaa
 
Msigwa kapotea mazima. Matusi dhidi ya Mbowe yameisha.
 
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Sasa kwani huko upinzani alikojibrand kuna nini cha maana? Hiyo chadema yenyewe si amebaki mtu mmoja tu anayeendesha chama kama kampuni yake binafsi na wafuasi wake ambao ni nyumbu hawana hata uwezo wa kumhoji kitu chochote? Kwa mwanasiasa anayejitambua kuendelea kubaki chadema ni kukidharirisha!
 
Back
Top Bottom