Mwanasiasa huyu alizaliwa na kipaji cha uigiza kwenye siasa aliingia kutafuta maisha tu

Ni andiko bovu ambalo halina mvuto wala maana.Unakurupuka asubuhi unakimbilia JF.
 
Ni lini zilishinda na kuwa juu ya private school? Mbona hakuitisha mjadala? Nyumbu mfuateni?vipi kuhusu ubinafishaji wa mali zetu na mikataba ya migodi, hatuhitaji mjadala?

Hizi shule zinazoburuza mkia kama anavyosema Mkapa ?
 
Tanzania ya viwanda.
......'Waturuki watakuja kujenga kujenga kiwanda chenye thamani ya Madafu trilioni themanini cha kubadili mavi ya kuku Kuwa gesi ya kupikia majumbani....na wameniahidi wataajiriwa wanainchi elfu nne....' Mavi ya kuku oyeeeee.... Mizuzu inaitikia Kwa nguvu HOYEEEEE[emoji1] [emoji1] [emoji1] Hii ndio Tizedi
 
wee jamaa wewe!!
 
Unayemsema ana elimu ya sanaa lakini aliyesemwa na mleta mada ana kipaji cha usanii. Tofautisha elimu ya kusomea na kipaji cha kuzaliwa.
Tofautisha wewe huyo wa kwenu kasomea kabisa ana Masters hivyo hakuna la kuongeza.
 
Naendelea kuamin jf ni forum ya wapinzan na siyo ya jamii.
 
Wewe unakipaji kikubwa cha kukejeri.
Unauwezo wa kumkejeri hadi mama ako aliyekuzaa.
 
Kamanda naona unamsema rais wa mioyo mr mamvi...mzee wa mafuriko fake!!
 
Umesahau sifa moja, pia yeye ni mwenyewe bahati SIKU zote kwa kuokota kuchwa cha treni ambaye mmiliki hakujulikanika lakini baadae kikanunuliwa sijui alilipwa nani?
Pia Pesa za uwanja wa ndege, Dhahabu, Magari pale bandarini.

Kwa kweli ni mbarikiwa wa Mungu.Ni MTU wa kuokota vitu visivyo na wenyewe na baadae hujiuzi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…