Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #61
Siejii leo amethibitishaPOMBE SIYO CHAI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siejii leo amethibitishaPOMBE SIYO CHAI
kwa hiyo inatuhusu nini sisi.kama.wananchi...hapa..au.umetupotezea muda tu.na.kutujazia.simu zetuMnajua watanzania wengi mpaka leo kuna kitu hawajakigundua kuhusu bwana mkubwa na ndio maana anafanikiwa kuwa-manipulate kwa kiasi kikubwa tangu aingie ofisini.
Msilolijua ni kuwa bwana mkubwa ana kipaji cha hali ya juu sana cha uigizaji na ni kipaji cha kuzaliwa kiasi kwamba kama tangu ujana wake angeingia kwenye fani ya uigizaji angeweza kufanikiwa sana na angekuwa na jina kubwa katika fani ya uigizaji na wakati huu angekuwa anakula tu mafao ya uigizaji.
kwakuwa kaingia kwenye siasa na ana kipaji hiki cha kuzaliwa,sasa analazimika kukitumia katika siasa kwa madhumuni ya kisiasa na kamwe hawezi kuacha na wala msitarajie ataacha.
Kipaji hiki cha mheshimiwa kiko wazi kila anapopata wasaa wa kuongea na wananchi ambapo huweza kuigiza ana uchungu, hasira, yuko serious,n.k na hata sura yake ukiingalia inakufanya uamini kabisa kuwa kile anachokitamka ndicho anachokimanisha kumbe siyo.
kwa mfano,anaweza kuongea kwa uchungu kuhusu jambo fulani kiasi kwamba wanaomuangalia na wao wakaumia wanapomsikiliza ila rohoni akawa yuko tofauti kabisa lengo likiwa ni kuwahadaa wanaomsikiliza na kumtazama ili waamini anamanisha akisemacho.
Anaweza kuongea mpaka ukamhurumia kuwa anaguswa sana na matatizo ya watu kumbe mwenzenu anaigiza tu na kwasababu ana kipaji cha kuigiza basi anafanikiwa kuwachota watu akili.
Ushahidi mwingine wa wazi kuwa uigizaji ni kipaji chake cha kuzaliwa ni matukio ya kutengeneza anayoandaliwa bila shaka kwa maagizo yake na jinsi anavyoyamudu akiwa jukwaani.
Mtu ambae hana obi ya uigizaji haweze ku-entertain matukio ya aina hii tena ya mara kwa mara isipokuwa tu kwa mtu ambae uigizaji ni jambo analolipenda na ana-enjoy kulifanya ikiwa ni kipaji chake cha kuzaliwa.
Jambo lingine watu wanalopaswa kujiuliza ni pale anapoongea akionekana kuwa na uchungu na hasira juu ya lile analoliongea lakini ghafla anabadili mada na kuanza kucheka kwa raha kama hakuwa yeye kitu ambacho si cha kawaida na si rahisi kwasababu kwa kawaida hasira hushuka kidogokidogo na si kutoweka ghafla tena ndani ya dakika chache tu.
Ni imani yangu amezaliwa na kipaji cha uigizaji na kama angekuwa amezaliwa katika nchi za wenzetu ambazo vipaji vya watoto huendelezwa tangu angali watoto wadogo,basi bila shaka angekuwa muigizaji mzuri na angeonyesha kipaji kikubwa katika fani ya uigizaji.
Waliosoma nae,kama wamo humu, tunawaomba watueleze kama shuleni, kwa maana ya msinigi na sekondari, alikuwa hashiriki katika michezo ya kuigiza.
Mifano ya maagizo yake iko mingi na kwakweli inamsaidia sana kuwa-fool wadanganyika na wengi itawachukua muda kugundua janya yake hii.
Poleni sana wabongo.
mi nadhani bora huyu mwenye.kipaji cha uigizaji alichozaliwa nacho kuliko yule.aliyesomea akitaka alazimeshe.iwe kama.anavyotaaka. kipaji ambacho kasomea na amekitumia kuwarubuni chagadema kiasi cha kuweza kuua ajenda ya.ufisadi.namzungumzia mamviMnajua watanzania wengi mpaka leo kuna kitu hawajakigundua kuhusu bwana mkubwa na ndio maana anafanikiwa kuwa-manipulate kwa kiasi kikubwa tangu aingie ofisini.
Msilolijua ni kuwa bwana mkubwa ana kipaji cha hali ya juu sana cha uigizaji na ni kipaji cha kuzaliwa kiasi kwamba kama tangu ujana wake angeingia kwenye fani ya uigizaji angeweza kufanikiwa sana na angekuwa na jina kubwa katika fani ya uigizaji na wakati huu angekuwa anakula tu mafao ya uigizaji.
kwakuwa kaingia kwenye siasa na ana kipaji hiki cha kuzaliwa,sasa analazimika kukitumia katika siasa kwa madhumuni ya kisiasa na kamwe hawezi kuacha na wala msitarajie ataacha.
Kipaji hiki cha mheshimiwa kiko wazi kila anapopata wasaa wa kuongea na wananchi ambapo huweza kuigiza ana uchungu, hasira, yuko serious,n.k na hata sura yake ukiingalia inakufanya uamini kabisa kuwa kile anachokitamka ndicho anachokimanisha kumbe siyo.
kwa mfano,anaweza kuongea kwa uchungu kuhusu jambo fulani kiasi kwamba wanaomuangalia na wao wakaumia wanapomsikiliza ila rohoni akawa yuko tofauti kabisa lengo likiwa ni kuwahadaa wanaomsikiliza na kumtazama ili waamini anamanisha akisemacho.
Anaweza kuongea mpaka ukamhurumia kuwa anaguswa sana na matatizo ya watu kumbe mwenzenu anaigiza tu na kwasababu ana kipaji cha kuigiza basi anafanikiwa kuwachota watu akili.
Ushahidi mwingine wa wazi kuwa uigizaji ni kipaji chake cha kuzaliwa ni matukio ya kutengeneza anayoandaliwa bila shaka kwa maagizo yake na jinsi anavyoyamudu akiwa jukwaani.
Mtu ambae hana obi ya uigizaji haweze ku-entertain matukio ya aina hii tena ya mara kwa mara isipokuwa tu kwa mtu ambae uigizaji ni jambo analolipenda na ana-enjoy kulifanya ikiwa ni kipaji chake cha kuzaliwa.
Jambo lingine watu wanalopaswa kujiuliza ni pale anapoongea akionekana kuwa na uchungu na hasira juu ya lile analoliongea lakini ghafla anabadili mada na kuanza kucheka kwa raha kama hakuwa yeye kitu ambacho si cha kawaida na si rahisi kwasababu kwa kawaida hasira hushuka kidogokidogo na si kutoweka ghafla tena ndani ya dakika chache tu.
Ni imani yangu amezaliwa na kipaji cha uigizaji na kama angekuwa amezaliwa katika nchi za wenzetu ambazo vipaji vya watoto huendelezwa tangu angali watoto wadogo,basi bila shaka angekuwa muigizaji mzuri na angeonyesha kipaji kikubwa katika fani ya uigizaji.
Waliosoma nae,kama wamo humu, tunawaomba watueleze kama shuleni, kwa maana ya msinigi na sekondari, alikuwa hashiriki katika michezo ya kuigiza.
Mifano ya maagizo yake iko mingi na kwakweli inamsaidia sana kuwa-fool wadanganyika na wengi itawachukua muda kugundua janya yake hii.
Poleni sana wabongo.
Yote tisa il Hamzidi Lowassa kwa MaigizoMnajua watanzania wengi mpaka leo kuna kitu hawajakigundua kuhusu bwana mkubwa na ndio maana anafanikiwa kuwa-manipulate kwa kiasi kikubwa tangu aingie ofisini.

eti vichwa vya Tureni VILIKAMATWA Bandani vikiwa HAVINA Mwenyewe. Muda mchache baadae: Serkali imevinunua.Zile ambulance zilizookotwa bandarin zishafika mikoan..magari Hamsini yanaokotwa hii si movie kabisa
....kwani hamkupewa Noah zenu ? wabongo mbona hamna shukrani jamani ?
Ndio hivyo mkuu wasanii kila kona.Unaigiza unabana matumizi na una uchungu na fedha za umma. Halafu kimya kimya unazoa fedha hazina (ulikomuweka ndugu yako kama katibu mkuu) unakwenda kununua wanasiasa uchwara halafu unaitisha chaguzi za marudio za kipuuzi kabisa. Ni awamu ya maigizo na sarakasi.
Hebu muwe mnafuatilia mambo na muwe serious. Bajeti ya Afya imepanda karibu mara kumi! Yaani akisema Noah ndio mnaelewa hivyohivyo. Kwa kweli Rais ana kazi, kuongoza nchi zenye watu wa IQ tofauti tofauti!
unaizungumzia hii bajeti inayotimizwa kwa 34% ? umewahi kuuguza mtu kwenye hizi hospitali za serikali ya Tanzania ?
ni aibu sana kushadadia upuuzi unaosomwa kwenye bajeti .
Nilisukumizwa.Mnajua watanzania wengi mpaka leo kuna kitu hawajakigundua kuhusu bwana mkubwa na ndio maana anafanikiwa kuwa-manipulate kwa kiasi kikubwa tangu aingie ofisini.
Msilolijua ni kuwa bwana mkubwa ana kipaji cha hali ya juu sana cha uigizaji na ni kipaji cha kuzaliwa kiasi kwamba kama tangu ujana wake angeingia kwenye fani ya uigizaji angeweza kufanikiwa sana na angekuwa na jina kubwa katika fani ya uigizaji na wakati huu angekuwa anakula tu mafao ya uigizaji.
kwakuwa kaingia kwenye siasa na ana kipaji hiki cha kuzaliwa,sasa analazimika kukitumia katika siasa kwa madhumuni ya kisiasa na kamwe hawezi kuacha na wala msitarajie ataacha.
Kipaji hiki cha mheshimiwa kiko wazi kila anapopata wasaa wa kuongea na wananchi ambapo huweza kuigiza ana uchungu, hasira, yuko serious,n.k na hata sura yake ukiingalia inakufanya uamini kabisa kuwa kile anachokitamka ndicho anachokimanisha kumbe siyo.
kwa mfano,anaweza kuongea kwa uchungu kuhusu jambo fulani kiasi kwamba wanaomuangalia na wao wakaumia wanapomsikiliza ila rohoni akawa yuko tofauti kabisa lengo likiwa ni kuwahadaa wanaomsikiliza na kumtazama ili waamini anamanisha akisemacho.
Anaweza kuongea mpaka ukamhurumia kuwa anaguswa sana na matatizo ya watu kumbe mwenzenu anaigiza tu na kwasababu ana kipaji cha kuigiza basi anafanikiwa kuwachota watu akili.
Ushahidi mwingine wa wazi kuwa uigizaji ni kipaji chake cha kuzaliwa ni matukio ya kutengeneza anayoandaliwa bila shaka kwa maagizo yake na jinsi anavyoyamudu akiwa jukwaani.
Mtu ambae hana obi ya uigizaji haweze ku-entertain matukio ya aina hii tena ya mara kwa mara isipokuwa tu kwa mtu ambae uigizaji ni jambo analolipenda na ana-enjoy kulifanya ikiwa ni kipaji chake cha kuzaliwa.
Jambo lingine watu wanalopaswa kujiuliza ni pale anapoongea akionekana kuwa na uchungu na hasira juu ya lile analoliongea lakini ghafla anabadili mada na kuanza kucheka kwa raha kama hakuwa yeye kitu ambacho si cha kawaida na si rahisi kwasababu kwa kawaida hasira hushuka kidogokidogo na si kutoweka ghafla tena ndani ya dakika chache tu.
Ni imani yangu amezaliwa na kipaji cha uigizaji na kama angekuwa amezaliwa katika nchi za wenzetu ambazo vipaji vya watoto huendelezwa tangu angali watoto wadogo,basi bila shaka angekuwa muigizaji mzuri na angeonyesha kipaji kikubwa katika fani ya uigizaji.
Waliosoma nae,kama wamo humu, tunawaomba watueleze kama shuleni, kwa maana ya msinigi na sekondari, alikuwa hashiriki katika michezo ya kuigiza.
Mifano ya maagizo yake iko mingi na kwakweli inamsaidia sana kuwa-fool wadanganyika na wengi itawachukua muda kugundua janya yake hii.
Poleni sana wabongo.
Mawazo finyu ya kulalamika asubuhi mpaka jioni.CHAGADEMA kichefuchefu.Hakuna tena mahali pa kuiba.Hamtamuweza jiungeni naye kama wanavyofanya madiwani wenu.Mmekalia matusi huku mnakimbiwa.
Asante,tunampenda hivyo hivyoPoleni sana wabongo.
Mkuu, unataka kumaanisha kuwa kuna nchi zina watu wenye IQ sawa?Hebu muwe mnafuatilia mambo na muwe serious. Bajeti ya Afya imepanda karibu mara kumi! Yaani akisema Noah ndio mnaelewa hivyohivyo. Kwa kweli Rais ana kazi, kuongoza nchi zenye watu wa IQ tofauti tofauti!