Mwanasiasa huyu alizaliwa na kipaji cha uigiza kwenye siasa aliingia kutafuta maisha tu

Milioni hamsini kila kijiji, sisi tutawapa wazungu misada, sukali nilikuta ikiuzwa kwa bei ya tshs:5000/= nikashusha bei hadi tshs:2000/= wafugwa wanapata raha sana!
 
Milioni hamsini kila kijiji, sisi tutawapa wazungu misada, sukali nilikuta ikiuzwa kwa bei ya tshs:5000/= nikashusha bei hadi tshs:2000/= wafugwa wanapata raha sana!
 
Kumbe Mgonjwa wa akili ni msanii ,ndo maana yanatokea haya[emoji34][emoji34]
 
kwani hamkupewa Noah zenu ? wabongo mbona hamna shukrani jamani ?
Hebu muwe mnafuatilia mambo na muwe serious. Bajeti ya Afya imepanda karibu mara kumi! Yaani akisema Noah ndio mnaelewa hivyohivyo. Kwa kweli Rais ana kazi, kuongoza nchi zenye watu wa IQ tofauti tofauti!
 
Hahahaha mleta Mada kwa hiyo.... Naandika nafuta, wacha nikomee hapa
 
Hebu muwe mnafuatilia mambo na muwe serious. Bajeti ya Afya imepanda karibu mara kumi! Yaani akisema Noah ndio mnaelewa hivyohivyo. Kwa kweli Rais ana kazi, kuongoza nchi zenye watu wa IQ tofauti tofauti!
unaizungumzia hii bajeti inayotimizwa kwa 34% ? umewahi kuuguza mtu kwenye hizi hospitali za serikali ya Tanzania ?

ni aibu sana kushadadia upuuzi unaosomwa kwenye bajeti .
 
Huwezi kulielewà kwa sababu una akili za kushikiwa
Mawazo finyu ya kulalamika asubuhi mpaka jioni.CHAGADEMA kichefuchefu.Hakuna tena mahali pa kuiba.Hamtamuweza jiungeni naye kama wanavyofanya madiwani wenu.Mmekalia matusi huku mnakimbiwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
unaizungumzia hii bajeti inayotimizwa kwa 34% ? umewahi kuuguza mtu kwenye hizi hospitali za serikali ya Tanzania ?

ni aibu sana kushadadia upuuzi unaosomwa kwenye bajeti .
Wewe haupo Tanzania. Sio kuuguza tu name kutibiwa hospitali za serekali kuna tofauti kubwa sana na miaka mitano iliyo[pita. Twende Mh. Magufuli chapa kazi output zinaonekana! Wanaolalamika wanajulika na kazi zao na madeal waliyozoea na walidhani ngi=uvu ya soda . Songa mbele twende!
 
Ni kweli mkuu Salary Slip ..mi nilishasema hadi siku AIRTEL ikirudi mikononi mwa TTCL ndo nitamwamini JPM tofauti na hapo ni mwigizaji wa kiwango cha HOLLYWOOD.
Wazaramo kufyatua watoto, makinikia, vyeti feki, chattel airport....
 
Mawazo finyu ya kulalamika asubuhi mpaka jioni.CHAGADEMA kichefuchefu.Hakuna tena mahali pa kuiba.Hamtamuweza jiungeni naye kama wanavyofanya madiwani wenu.Mmekalia matusi huku mnakimbiwa.
Ni mambo ya nyakati, hata kwa Pilato, watu waliomba afunguliwe Baraba, muuaji mkuu, licha ya kwamba alikuwa anaua watu wao. Unaweza kusema lolote lkn waungwana wanajua liwalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…