Mwanasiasa huyu alizaliwa na kipaji cha uigiza kwenye siasa aliingia kutafuta maisha tu

kwa hiyo inatuhusu nini sisi.kama.wananchi...hapa..au.umetupotezea muda tu.na.kutujazia.simu zetu
 
mi nadhani bora huyu mwenye.kipaji cha uigizaji alichozaliwa nacho kuliko yule.aliyesomea akitaka alazimeshe.iwe kama.anavyotaaka. kipaji ambacho kasomea na amekitumia kuwarubuni chagadema kiasi cha kuweza kuua ajenda ya.ufisadi.namzungumzia mamvi
 
Yote tisa il Hamzidi Lowassa kwa Maigizo
 
Unaigiza unabana matumizi na una uchungu na fedha za umma. Halafu kimya kimya unazoa fedha hazina (ulikomuweka ndugu yako kama katibu mkuu) unakwenda kununua wanasiasa uchwara halafu unaitisha chaguzi za marudio za kipuuzi kabisa. Ni awamu ya maigizo na sarakasi.
 
Ndio hivyo mkuu wasanii kila kona.
 
Hebu muwe mnafuatilia mambo na muwe serious. Bajeti ya Afya imepanda karibu mara kumi! Yaani akisema Noah ndio mnaelewa hivyohivyo. Kwa kweli Rais ana kazi, kuongoza nchi zenye watu wa IQ tofauti tofauti!

Bajet imepanda tarakimu, utekelezaji ndio jambo la msingi. Unaweza ukatuambia bajet inayoishia ilitekelezwa kwa % ngapi. Tuna ufahamu wa kutosha hilo uelewe.
 
Nilisukumizwa.
 
Mawazo finyu ya kulalamika asubuhi mpaka jioni.CHAGADEMA kichefuchefu.Hakuna tena mahali pa kuiba.Hamtamuweza jiungeni naye kama wanavyofanya madiwani wenu.Mmekalia matusi huku mnakimbiwa.

Onyesha matusi kwenye post yake zaidi ya ukweli. Hao wanaokimbilia huko ccm hakuna tofauti na wale watu wanaondoka kwenye kazi zao kwenda sehemu zilizogunduliwa madini ili kujipatia hela maradufu. Ingekuwa huyo wanayesema wanaenda kumuunga mkono anashinda kwenye box la kura kihalali hapo ungeeleweka.
 
Hebu muwe mnafuatilia mambo na muwe serious. Bajeti ya Afya imepanda karibu mara kumi! Yaani akisema Noah ndio mnaelewa hivyohivyo. Kwa kweli Rais ana kazi, kuongoza nchi zenye watu wa IQ tofauti tofauti!
Mkuu, unataka kumaanisha kuwa kuna nchi zina watu wenye IQ sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…