Mwanasiasa / Kiongozi mkubwa kutoa ' Tamko ' pasipo ' Ukomo ' wake ni Kiashirio cha Uweledi wake au Kupotoka Kwake?

Boss GENTAMYCINE Unaanza kutofautiana na Chama chako na Msimamo wao. Angalia wasikutenge.

Viongozi wengi wa Mataifa mengi ( Barani Afrika, Ulaya, Marekani na hadi Asia ) nimeona wakiweka Ukomo katika Matamko yao hasa juu ya hili Janga baya la CORONA ( COVID-19 ) ila nasikitika Viongozi wa Mataifa mengine wamekuwa wakitoa tu Matamko yao pasi na Kuwaeleza Wananchi ni lini kutakuwa na Ukomo.

Labda tu niwaambie hao Viongozi kwamba Kitu pekee wasichokijua sasa ni kwamba wameshawazidishia Mawazo na Machungu Wananchi wao kwani hao Wananchi Wao sasa wanawaza ni lini Janga hili la CORONA litamalizika ili Maisha yao magumu yaendelee lakini pia sasa wapo njia panda kujua kama Watoto wao wataendelea na Masomo au Likizo yao itakoma ( itaisha ) rasmi January 2023.

Nichukue nafasi hii adhimu kuwapongeza Marais na Viongozi mbalimbali wa nchi zingine zinazojielewa kama India, Marekani, Germany, Spain, Uganda, South Afrika, Rwanda, Kenya, Iran, Uingereza, Ghana, Sweden na Ufaransa ambao Wao licha ya kwamba CORONA inawatesa na wengine wana ' both Partial and Total Lock down / Curfew ' lakini kila wakijitokeza Kuzungumza na Wananchi wao hawasahau kusema ' Ukomo ' wa tarehe juu ya ' Matamko ' yao.

Mwenyezi Mungu atusaidie.
 
BaShite naye katoa aMri ya kubaa balakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss GENTAMYCINE Mimi binafsi nakuelewa, Tatizo Watetezi wao humu, Yaani Mtu ukiwa na Mtazamo tofauti nao ni Kosa, wanachotaka ni Praise Team

Kuna tofauti kati ya Kuwakosoa na Kuwadhalilisha. Ninachokifanya Mimi Siku zote ni Kuwakosoa kwa Kuwajenga zaidi Boss.
 
Viongozi wengi wa Mataifa mengi ( Barani Afrika, Ulaya, Marekani na hadi Asia ) nimeona wakiweka Ukomo katika Matamko yao hasa juu ya hili Janga baya la CORONA ( COVID-19 ) ila nasikitika Viongozi wa Mataifa mengine wamekuwa wakitoa tu Matamko yao pasi na Kuwaeleza Wananchi ni lini kutakuwa na Ukomo.

Labda tu niwaambie hao Viongozi kwamba Kitu pekee wasichokijua sasa ni kwamba wameshawazidishia Mawazo na Machungu Wananchi wao kwani hao Wananchi Wao sasa wanawaza ni lini Janga hili la CORONA litamalizika ili Maisha yao magumu yaendelee lakini pia sasa wapo njia panda kujua kama Watoto wao wataendelea na Masomo au Likizo yao itakoma ( itaisha ) rasmi January 2023.

Nichukue nafasi hii adhimu kuwapongeza Marais na Viongozi mbalimbali wa nchi zingine zinazojielewa kama India, Marekani, Germany, Spain, Uganda, South Afrika, Rwanda, Kenya, Iran, Uingereza, Ghana, Sweden na Ufaransa ambao Wao licha ya kwamba CORONA inawatesa na wengine wana ' both Partial and Total Lock down / Curfew ' lakini kila wakijitokeza Kuzungumza na Wananchi wao hawasahau kusema ' Ukomo ' wa tarehe juu ya ' Matamko ' yao.

Mwenyezi Mungu atusaidie.
point yako ni nini dada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom