TANZIA Mwanasiasa mkongwe, Mzee John Lifa Chipaka Afariki Dunia

TANZIA Mwanasiasa mkongwe, Mzee John Lifa Chipaka Afariki Dunia

MAhakimu wakati wa kesi ys uhaini ya Chipaka walitokea Trinidad and Tobago.

CJ aliletwa toka Trinidad..na wakati huo mahakimu wengi walitoka Nigeria.Wanasheria Trinidad & Tobago.Kwa sababu ya upungufu wa mahakimu na Attorneys wa Kianzania.
Mahakimu wengine Wakati wa Ukoloni walikuwa Wazungu,na Wahindi..Hata mawakili (advocates)na madaktari walikuwa hao hao.
Kitivo cha kwanza cha Sheria cha chuo cha Afrika Mashariki kilianzishwa hapo Lumumba Mnazi mmoja karibu na Jumba La Usharika (Co-op building).
Wakati w kesi hiyo Jaji Mkuu alikuwa Georges na kina Nathanael King toka Caribbean huko wakiwa State Attorney.Wote walikuwa wana asili ya Afrika.Jaji wa mwisho kuondoka Tanzania alikuwa wa Nijeria kwa jina Jaji Onyiuke huyu alikaa sana.
Agustino Saidi ndiye Mtanzania wa kwanza kuwa Jaji Mkuu mwaka 1970.
 
Back
Top Bottom