TANZIA Mwanasiasa mkongwe, Mzee John Lifa Chipaka Afariki Dunia

TANZIA Mwanasiasa mkongwe, Mzee John Lifa Chipaka Afariki Dunia

Hakuwa tunu alikuwa kibaraka wa Malawi na makaburu akiwa chini Ya uongozi wa mnyasa mwenzie oscar kambona. Waliungana kikabila dhidi Ya Nyerere wampindue Kama ambavyo kwa sasa kuna kabila fulani ambalo liko kinyume na magufuli kwa kila anachofanya. sasa hilo kabila la chipaka walikuwa wamejazana serikalini kwenye chama na mashirika Ya umma lakini walipoleta za kuleta sasa hivi si rahisi kumkuta mnyasa kwenye chama serikali au mashirika Ya umma ni WA kumulika kwa tochi Hilo kabila linalopinga magufuli Time will tell yatawakuta ya wanyasa. It is Up to them to decide whether they are with magufuli or else yawakute ya wanyasa
Sitaki kutukana Leo.
Sitaki kutukana Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla Ya vipindi vya Radio RSA idhaa Ya kiswahili kuanza unakumbuka kuna mlio wa ngoma ulikuwa unaanza ukipiga ndu ndu ndu ndu ndu halafu unafuatiliwa na milio ya ndege walio imba churuu churuuu churuuu. Kile kilikuwa kiapo cha siri cha makaburu chenye maana ya kusema kuwa sikieni makaburu tulipofika afrika kusini tulikuta ndege tu sio watu hivyo pale Afrika kusini ni kwetu na ndege tu
I can vividly recall that tune!
 
Mswada wa Kufuta haukuletwa na Bunge ukiletwa na Serikali ya Nyerere kazi ya Bunge ikawa kupitisha Pendekezo la Serikal

Tanzania haijawahi ma haitawahi kutawaliwa na Dikteta Kama Nyerere!

Unamkamata Mtu 1968 inafika 1970 unagundua huna Sheria ya kumfungia unatunga Sheria then una back date isomeke ilianza kutumika 1968 unamfunga Mtu Maisha Halafu unajiandaa kutunga Sheria kuzuia Watu wasikate Rufaa kwny Mahakama ya EA lakin Watuhumiwa wanawahi kukata Rufaa na wanashinda rufaa lakin unatekeleza Rufaa hiyo kwa kuwaachia huru Gerezani baada ya Miaka 10 baadae!

JPM ni cha Mtoto kwa Nyerere
Watu wa umri wangu waliosoma Kibaha sekondari watamkumbuka Mwl Kazibure. Alipata adhabu ya kudumu kutoka kwa Nyerere, ulizeni kisa. Wapo wengine akina marehemu Tuntemeke Sanga walikatishwa PhD wakaambiwa warudi nyumbani kuhamasisha 'kilimo cha kufa na kupona'. Kaka yangu alimaliza form six kwa marks nzuri, lakini akapelekwa Lindi kuwa mwalimu eti ni 'Azimio la Musoma', aliruhusiwa kwenda chuo kikuu baada ya miaka miwili. Leo hii watu wakimsikia mtu ana slogan ya 'Hapa Kazi Tu', hawajui kuna aliyeitekeleza 'kibabe' hasa. Mnajua chanzo cha 'Gezaulole'?
 
Kabla Ya vipindi vya Radio RSA idhaa Ya kiswahili kuanza unakumbuka kuna mlio wa ngoma ulikuwa unaanza ukipiga ndu ndu ndu ndu ndu halafu unafuatiliwa na milio ya ndege walio imba churuu churuuu churuuu. Kile kilikuwa kiapo cha siri cha makaburu chenye maana ya kusema kuwa sikieni makaburu tulipofika afrika kusini tulikuta ndege tu sio watu hivyo pale Afrika kusini ni kwetu na ndege tu
Nimeipata mahali hii sauti. Huenda yenyewe. Tulikuwa tusikilizia kwenye radio ya Mbao au dudupruf keenye Shot wave, WILIAM Njelanji, Moses MKANDAWILE na mwenzake. Nilikuwa mdogo enzi hivyo na Nyimbo za mbongomani nyingi HV!¡
Mswada wa Kufuta haukuletwa na Bunge ukiletwa na Serikali ya Nyerere kazi ya Bunge ikawa kupitisha Pendekezo la Serikal

Tanzania haijawahi ma haitawahi kutawaliwa na Dikteta Kama Nyerere!

Unamkamata Mtu 1968 inafika 1970 unagundua huna Sheria ya kumfungia unatunga Sheria then una back date isomeke ilianza kutumika 1968 unamfunga Mtu Maisha Halafu unajiandaa kutunga Sheria kuzuia Watu wasikate Rufaa kwny Mahakama ya EA lakin Watuhumiwa wanawahi kukata Rufaa na wanashinda rufaa lakin unatekeleza Rufaa hiyo kwa kuwaachia huru Gerezani baada ya Miaka 10 baadae!

JPM ni cha Mtoto kwa Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Wewe si uko iringa waulize wazee hapo iringa miaka Ya 70 Kama hakukuwa na ndege za makaburu zikimwaga vipeperushi mjini Na vijijini vyenye picha za wito wa kambona. Uko iringa wewe confirm

YEHODAYA,

Mimi nataka ku-argue na wewe objectively kwa sababu hapa tunatunzza historia. Hata mimi nilisimuliwa kwamba kuna ndege zilikuwa zinapeperusha vikaratasi vya Kamboona na wewe hapa unasema kwamba Chipaka alikuwa mmoja katika ile kesi ya kutaka kumpindua Nyerere.

Sasa hapa unasema kwamba ndege zilipeperusha vikaratasi miaka ya 1970, wakati Chipaka na wenzake wako ama mahabusu au gerezani tangu October 1969.

Sasa hapa unamhusishaje Chipaka na ndege za vipeperushi wakati akiwa gerezani?
 
Thanks kwa kunirebisha ilikuwa miaka Ya 60 baada ya Nyerere kutangaza azimio la Arusha mwaka 1967 uko sahihi asante kurekebisha
 
R.I.P

Watu waliimbishwa nyimbo za kuwakashifu akina chipaka,kambona mashuleni katika mchakamchaka,kumbe walikuwa wanapigania Uhuru wa kuongea tu,Uhuru wa kisiasa! Hakika TANU na CCM wali-corrupt akili za watanzania

Hii imekuwa ndio tabia kuu ya nchi za kijamaa,kupangia watu jambo la kufikiri badala ya kuwaacha watu wafikiri,tuliimbiwa hotuba za kukashifu matajiri,wenye mali, UGONJWA HUU WA AKILI haujawatoka wengi,na ni matunda ya ujamaa,wengine mpaka leo wanao

Jenerali Ulimwengu alisema kidemokrasia tumerudi nyuma miaka 50! Ni kweli,zaidi ya miaka 50 iliyopita Nyerere alifuta vyama vingi,zaidi ya miaka 50 iliyopita Nyerere aliwakamata akina Lifa Chipaka kwa kuwa tu walikuwa washindani wake kisiasa,zaidi ya miaka 50 iliyopita Nyerere aliwafunga watu hawa bila hata kuwa na sheria!

Leo miaka 50 tunabuni makosa ya uchochezi ili kuwakamata wapinzani,tumerudi nyuma kula matapishi

Nyerere aliyaona makosa aliyofanya ya Kufuta mfumo wa vyama vingi na alipiga kelele mpaka ukarudishwa,leo kuna mtu haoni umuhimu wa vyama vingi na anafanya kazi ya kuvivuruga,taifa lilifanya kosa,likajifunza,leo kuna mtu MMOJA TU katika taifa ambaye hajaelewa umuhimu wa vyama vingi,lakini hata mtoto wa miaka 15 haoni shida kusikia vyama vingi
Kweli mkuu tuliimbishwa nyimbo kumbe watu walikuwa wanapigania demokrasia,nyerere alikuwa hatari sana
R.I.P comrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu tuliimbishwa nyimbo kumbe watu walikuwa wanapigania demokrasia,nyerere alikuwa hatari sana
Hatari sana,huyu Nyerere ndio anataka kutangazwa mtakatifu!!!! Maajabu,katesa sana watu
 
Back
Top Bottom