Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Yehodava unafikiri kwa kichwa au kwa makalioWewe si uko iringa waulize wazee hapo iringa miaka Ya 70 Kama hakukuwa na ndege za makaburu zikimwaga vipeperushi mjini Na vijijini vyenye picha za wito wa kambona. Uko iringa wewe confirm
Hii sheria kweli ipo maana hata mataifa ya ulaya wanaitumia sana kwenye siasa zao yupo wapi Robin Cook, Claire Short au Dr. Kelly. Yaani ukienda tu kinyume na interest za nchi yao na kunyima benefit ya mamilion ya watu wanakumaliza taraatibu. Country first mtu binafsi baadae.Lifa chipaka agent wa kambona asingebanwa kibano cha uhakika mauaji ya kimbari yangetokea. Alichofanyiwa ilikuwa sahihi kwa sababu kuna sheria isiyoandikwa inasema heri mtu mmoja aangamie kuliko taifa liangamie. Nifafanue ukiwa dereva wa basi la abiria umebeba abiria 60 kichaa akakatiza mbele yako ukaona Kabisa ukimkwepa basi litapinduka na utaua abiria wote unachotakiwa kufanya ni kumgonga huyo kichaa na kumuulilia mbali uokoe abiria 60 hiyo kesi ni ndogo mno hata ukiua
Ndio hivyo. Siku hizi Kingunge, Sumaye, Lowassa nao wanaitwa wapinzani. Yaani wanapingana na matatizo waliyoyatengeneza wao wenyewe.Kweli siasa damuni, toka 1950s mzee anapambana kwenye siasa!! RIP MZEE
wakazi wa nyanda za juu kusini Na mikoa ya kusini watakumbuka vipeperushi vilivyokuwa vikamwagwa na ndege za Vita za Africa kusini vikiwataka wananchi wampindue Nyerere zikiruka toka malawi na jinsi redio zote za Tanzania zilivyoingiliwa kimawasiliano ya kijeshi zisisikike mikoa hiyo isikike tu idhaa Ya kiswahili Ya makaburu iliyohamasisha watu wapindue Nyerere.!!!!
Hadithi hizi za uongo kawasimulie watoto mkuu!Wewe si uko iringa waulize wazee hapo iringa miaka Ya 70 Kama hakukuwa na ndege za makaburu zikimwaga vipeperushi mjini Na vijijini vyenye picha za wito wa kambona. Uko iringa wewe confirm
Pumbaf nilijua mtu wa maana kumbe umejawa na chuki tu za kabila fulani yote unayoongelea hayana maana unataka kupandikiza mbegu zako za chuki tu we endelea na chuki zako kawaambukize wajukuu zako sio kuja kuturopokea hukuAnyway wanyasa walijaribu kuthubutu leo wanyasa wako wapi. Wasomi wakubwa nchi hii wakati nchi iko chini Ya mkoloni mwingereza walikuwa sio wachaga wala wahaya walikuwa wanyasa sababu Dini yao ilikuwa Anglikana dini Ya mwingereza mkoloni mtawala. Aliwasomesha sana wakajaa serikalini mashirika Ya umma chamani na vyama vya wafanyakazi. Kila sehemu ukienda ilikuwa lazima ukutane na bosi au msomi mnyasa.lakini jaribio la kupindua Nyerere lilibadilisha kila kitu. Hakuwa mtu anajua mnyasa ni nani. Wachaga kaeni chini muongee Future yenu haiko mbali na wanyasa nawapa ushauri WA bure you can take it or leave it. Upinzani wenu utawaweka same position na wanyasa. Sorry if I have offended u
Sahihi. Ila ni Afrika hiihii.Chipaka? Mmalawi huyu. Apumzike kwa amani.
Ruvuma kuna kabila la Wanyasa. marehemu atakuwa amezaliwa kutoka kabila hiliChipaka? Mmalawi huyu. Apumzike kwa amani.