dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... Mbeya/Songwe wamepoteza watu muhimu sana siku mbili hizi - Prof. Tolly Mbwete na Njelu Kasaka. Very sad.Bavicha watakwambia corona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Mbeya/Songwe wamepoteza watu muhimu sana siku mbili hizi - Prof. Tolly Mbwete na Njelu Kasaka. Very sad.Bavicha watakwambia corona.
Ukiwa chadema hufi kwa covid 19ni kovidi au? poleni wafiwa
RIP Mzee Njelu Kasaka, pamoja na kustaafu hakuacha kutoa nasaha na uzoefu wake popote pale anapoulizwa maoni yake
Ni G55Walikuwa na umoja wao kama sijasahau walikuwa wanajiita G20 bungeni.
...mwalimu kuona hivyo ilibidi atoke butiama mbio kwenda kuokoa jahazi na alifanikiwa kweli kuwanyamazisha yule mzee..Walimsumbua sana Mzee Mwinyi hao na wenzake 54
Asante kwa masahihisho mkuu.Ni G55
Huyu mzee alianzisha kundi la wabunge 55 la kudai serikali ya Tanganyika wakati malecela akiwa waziri mkuu kitu kilichomuudhi Sana Nyerere na ndiyo sababu malecela kukataliwa kugombea urais.Sory mkuu alikuwa nani ndani ya nchi hii. Sisi vijana wa juzi /jana wengine hatumjui
Ni kweli bila mwl.Nyrere hoja yao ilikuwa ipite kwa kishindo...kwenye hiyo hoja alikuwepo pia Mzee Malecela...mwalimu kuona hivyo ilibidi atoke butiama mbio kwenda kuokoa jahazi na alifanikiwa kweli kuwanyamazisha yule mzee..
Kama siyo Nyerere basi leo tungekuwa na serikali ya Tanganyika.Duu! Huyu mgeni kwangu kusema ukweli.
Sasa hivi ccm ina kina Kawe Alumni,Bashite and the like.Rest In Power Mzee wa G55 na Tanganyika yake
wakati CCM ikiwa ni Chama Cha Mapinduzi kikwelikweli.
Hivi unakuwaje verified wakati unapicha bandiaMwanasisa mkongwe nchini Tanzania Njelu Kasaka ameaga dunia leo katika hospitali ya Rufaa ya Mbeya.
Taarifa na Chikulupi Kasaka, mtoto wa Marehemu
Huyo ni mbunge wa zamani wa Mbeya mjini kama sikosei.