Nailyne
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 350
- 113
he nikikumbuka zeutamu,mbona sina hamu!
ni kweli usipige kabisaa,mara nyingi zinatumika kama chombo cha kukukomoa..
mie nilipiga nikazifuta,kumbe mjamaa alikuwa keshazihamisha kwenye CD,
ikatokea nishamsahau na kumsahau mara akanitundika kule zeutamu,nilishangaa sana...mpaka leo siamini,na simwamini mtu,hata huku skype na kwengine huwa nakaa kimachale sana...i will never trust anyone again,bora nibaki hivi hivi kunguru mwoga.:twitch:
pole sana mamii kama ulikuwa victim wa ze utamu!ule mtandao umeharibia maisha watu wengi mno, yaani mwanaume akiachwa tuu kosa anatafuta picha zako anaenda kuzirusha ze utamu,,, i had a friend who was a victim too she almost killed herself, ni sala na maombi plus ushauri wa watu wa wachungaji ndio uliomsaidia to get back back to normal