Mwanasiasa na picha za uchi- Epuka kupiga picha za utupu

Mwanasiasa na picha za uchi- Epuka kupiga picha za utupu

he nikikumbuka zeutamu,mbona sina hamu!
ni kweli usipige kabisaa,mara nyingi zinatumika kama chombo cha kukukomoa..
mie nilipiga nikazifuta,kumbe mjamaa alikuwa keshazihamisha kwenye CD,
ikatokea nishamsahau na kumsahau mara akanitundika kule zeutamu,nilishangaa sana...mpaka leo siamini,na simwamini mtu,hata huku skype na kwengine huwa nakaa kimachale sana...i will never trust anyone again,bora nibaki hivi hivi kunguru mwoga.:twitch:

pole sana mamii kama ulikuwa victim wa ze utamu!ule mtandao umeharibia maisha watu wengi mno, yaani mwanaume akiachwa tuu kosa anatafuta picha zako anaenda kuzirusha ze utamu,,, i had a friend who was a victim too she almost killed herself, ni sala na maombi plus ushauri wa watu wa wachungaji ndio uliomsaidia to get back back to normal
 
Sio wanasiasa peke yao.Kila mmoja anapaswa kuepuka kupiga picha za uchi..Kwanini upige picha uchi,ili iweje?

Tunapiga picha uchi ili tujione tuna fananaje tukiwa naked, ni jamboo la ajabu sababu ya technology inayotumika, kumbuka ilipo vumbuliwa kioo ilikua pia ni aibu `na ajabu kujitizama kwenye kioo ukiwa uchi. Uchi ni kitu cha kawaida watu tuu mna kikuza .
 
he nikikumbuka zeutamu,mbona sina hamu!
ni kweli usipige kabisaa,mara nyingi zinatumika kama chombo cha kukukomoa..
mie nilipiga nikazifuta,kumbe mjamaa alikuwa keshazihamisha kwenye CD,
ikatokea nishamsahau na kumsahau mara akanitundika kule zeutamu,nilishangaa sana...mpaka leo siamini,na simwamini mtu,hata huku skype na kwengine huwa nakaa kimachale sana...i will never trust anyone again,bora nibaki hivi hivi kunguru mwoga.:twitch:

Pole sana roselyne1, hata mimi sikuwa naufahamu huo mtandao nikashangaa siku moja napigiwa simu eti fungua sehemu fulani utamuona fulani yupo naked. Nilishangaa sana kwa jinsi huyo dada anavyoonekana anajiheshimu ni vp ameamua kufanya hiyo biashara. Baadaye nilipomuuliza alisema ni X wake kafanya hivyo, nikamwambia hiyo itaku-cost zaidi pale utakapokuwa maarufu.
 
Nani Has Links To Ray C Porn Pics Au Ni Uzushi Tu..
 
She has only herself to blame. To avoid this, just don't have any pictures taken while you're naked.

Mkuu she didn't pose, she was sleeping when the bf took pics:

A prominent Malaysian opposition politician has offered her resignation after naked photos of her sleeping were circulated by mobile phone.
 
Sio wanasiasa peke yao.Kila mmoja anapaswa kuepuka kupiga picha za uchi..Kwanini upige picha uchi,ili iweje?

oo shauri yako Regia wengine ss tukipiga ni sifa. porn star tunakuwa sasa piga na ww uone
 
Hizooo.... Ila kula mbakishie Baba...😀😀

attachment.php
 
daaahh
haya ndoo matatizo ya dunia
ukipanda watataka kukushusha
na wakifanikiwa ni wanakuangusha haswa..
pole zake huyo mdada
 
Tunapiga picha uchi ili tujione tuna fananaje tukiwa naked, ni jamboo la ajabu sababu ya technology inayotumika, kumbuka ilipo vumbuliwa kioo ilikua pia ni aibu `na ajabu kujitizama kwenye kioo ukiwa uchi. Uchi ni kitu cha kawaida watu tuu mna kikuza .

eti uchi ni ki2 cha kawaida! Kuene wa2 wa heshima na heshmun miili yenu! Kama unatak kujiona ukiw uch ci kuna vioo, ukitok kuoga au kam bafun kuna kioo si unajiona! Ni ulimbuken na mambo ya kuiga hayo ambayo yanaharibu akili za wanawake wengi wasiojitambua.. Technology iciwapelek puta kila mahali, na ci kila ukionacho ukifanye.. Sasa umepiga picha za uchi umefuata technlgy na hiyo hiyo inakuumbua na unaonekana malaya mbele za wa2! Hakun mwanaume anaependa ki2 kama hiki nikiwemo mi.. Jiheshimu kwanza, angalia ndoa nyingi zinazodumu wanandoa wamejiheshimu na kufuata kanuni za ndoa.. Hujui kesho itakuwaje, mtoto akizikuta ciku moja na akaziona utamwambiaje? Vijana 2badilikeni 2fuate maadil mazuri.
 
oo shauri yako Regia wengine ss tukipiga ni sifa. porn star tunakuwa sasa piga na ww uone

we upo kibiashara zaidi.. PORN STAR wat a devil name! Unajitangaza kabisaaa.... Lakn cishangai, ila ninashangaa yule ambaye anapiga picha halaf analalamik baadae! Kwa anaefanya biashara sawa..
 
mimi ni mtaalamu wa mabo ya IT........juzi kati hapa kunamti mmoja alileta laptop yake nimrekenishie ili iweze kupata mtandao..........kweye ile laptop kulikuwa na progam ya web cam.....na kulikuwa na video moja amejipiga yeye na demu mmoja wakati wanafanya mapenz.........ina kama dk 42 hivi........nilishangaa sana....halafu alikuwa ameiweka kihasara hasara yaani iko kwenye desktop tu........

Kuna mbunge mmoja majuzi huko Indonesia amerecodiwa akiangalia pono kwa laptop yake Bungeni wakati mbunge huyo huyo yuko kwenye chama kinachotetea mswada wa kupiga marufuku pono Indonesia (maanake ni muislamu) Mbona imebidi ajiuzuru. Kabaki ooh kunamtu simfahamu alinitumia atachment nimefungua bila kujua ni nini na nyie ndo mkanirecord. Wapi watu wakashupaa kawatia aibu. Jamaa kajiuzuru, nadhani ilikuwa last week.
Mbona haziwekwagi za wanaumeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. wakati wapo wanasiasa madume wanazini na street girls kila leo?

Tehe tehe...Patriarchal system............
 
Aisee. Watu ni malay man kwenye IT alafu wana make maximum use of it. Mimi nawaheshimu sana wataalamu wa IT alafu siwaamini hata kidogo. Hata maofisini wanaiba sana data za siri za watu especially kama office iko networked

mimi ni mtaalamu wa mabo ya IT........juzi kati hapa kunamti mmoja alileta laptop yake nimrekenishie ili iweze kupata mtandao..........kweye ile laptop kulikuwa na progam ya web cam.....na kulikuwa na video moja amejipiga yeye na demu mmoja wakati wanafanya mapenz.........ina kama dk 42 hivi........nilishangaa sana....halafu alikuwa ameiweka kihasara hasara yaani iko kwenye desktop tu........

  • Thanks
Reactions: Aza
Dawa ni kwamba kama una laptop inakorofisha usipeleke kwa mtu unayemjua especially kama una katabia ka kuweka au kusearch mambo mabaya. Ni kama kwa doctor sometimes ni bora kuwa attended na doctor usomjua.
 
aisee mbona picha za kawaida hizo!!! au kuna kitu kimefichwa humo hatujaonyeshwa?

It does not make sense to me if my lover will one day tell me he wants my nude pic, eh kweli!!! ataniacha kwenye question mark.....ebu wenzangu mnaokubali kupigwa nude pic; nielezeni inakuwaje kuwaje!!! mh mi kusema ukweli mgeni huko

n yeah i totally agree mtu akitaka kukupiga picha anaweza akafanya hivyo bila mwenyewe kujua..its all about tech n how we use it...

i think this can be a scheme from opposition party..!! but honestly i see nothing wrong with the pics!!!
 
Malaysia ni nchi ya kiislamu wewe waweza ona ni za kawaida kumbe kwao tumbo kuonekana ni issue. Again inawezekana kwa kuwa ni nchi ya Kiislamu kuna picha wamezificha kwa sababu ya kimaadili.

Mbona picha zenyewe sio mbaya kiivo? tena masikini dada mwenyewe kajilalia tu, hata hana habari alipigwa picha. kweli kuna dalili zote za sabotage hapa!
 
Ray C porno movie has been circulating in Nairobi selling for as much as Kshs 15000/= ati she is having sex with different men.Wot I wonder in such cases is kwani these people are always filming ama how is it possible to capture a person with different people on film.Sasa itabidi ladies tuwe tunakeep our clothes on at all times except in our own houses in the bathroom wen we are alone otherwise hata mtu anaweza kuweka CCTV in ur house.Utafanya nini?

Nadhani swali la kuuliza ni: Alijua kuwa anapigwa picha, na kama alijua na akawa tayari kuna la kushangaa zikizagaa? Huwezi kujua, labda ni biashara yake.
 
Back
Top Bottom