Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu inayowatoa Ujinga, na KURA za mijini ambapo wasomi na wale wanaamini CCM imekaa sana madarakani inabidi itolewe ndo wamejaa walakini TUNDU LISSU atakoswa Kura nyingi za Vijijin ambako watu wanaamini AMANI inaletwa na CCM.
Paul Makonda, huyu atabeba kura zote za Gen-Z, wasomi wa mjini kuanzia watoto mpaka Wazee, Vijijin kote atabeba Kwa Faida ileile ya Amani inaletwa na CCM, Kura atakazokosa ni Kura za wanaoamin CCM Imekaa madarakani muda mrefu.
PAUL MAKONDA, NI EDWARD LOWASA, NYERERE, MAGUFULI, SOKOINE WA LEO.
Kwa Nyuma yake ndo utamuona GWAJIMA BISHOP mwenye Elimu na Mvuto.
Kuna Wana CCM wanauwezo mkubwa sana kichwani kama Akina MPINA, BASHUNGWA , MCHENGERWA na wengineo sema hawana Ile Amsha amsha inayoweza kuwapa wafuasi weeengi nyuma yao.
Kwa Maana hiyo sio Kila mwenye Elimu na Uwezo mzuri kichwan anafaa kua Rais.
MTU ni WATU.
Siku atakayogombea MH Paul Makonda atakapohombea Urais, awe Ndani ya CCM au Nje, Nitampigia Kura ya Ndio.