Pre GE2025 Mwanasiasa Pekee wa CCM anayeweza kushindana na Tundu Lissu kwenye nafasi ya Urais ni Paul Makonda

Pre GE2025 Mwanasiasa Pekee wa CCM anayeweza kushindana na Tundu Lissu kwenye nafasi ya Urais ni Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bure kabisa!!!

Aina hii ya vijana wanamchango mdogo sana katika taifa.

Tafiti zinasema Watanzania wengi ni vichaa!!!
 
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.

Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.

Paul Makonda, huyu atabeba kura zote za Gen-Z, wasomi wa mjini kuanzia watoto mpaka Wazee, Vijijin kote atabeba Kwa Faida ileile ya Amani inaletwa na CCM, Kura atakazokosa ni Kura za wanaoamin CCM Imekaa madarakani muda mrefu.

PAUL MAKONDA, NI MAGUFULI WA LEO.
MTU ni WATU.
Naunga mkono hoja Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
Siku atakayogombea MH Paul Makonda atakapohombea Urais, awe Ndani ya CCM au Nje, Nitampigia Kura ya Ndio.
Naunga mkono hoja Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!
P
 
Lissu amepoteza kibali kwa sasa katika ulimwengu wa roho.
Uungwaji wake mkono umeanza kushuka.
Nadhani, hii imechangiwa na jinsi anavyoropoka pasi kujizuia.
Mlio karibu naye mshaurini hili.
Rekodi yake ni nzuri, lakini kwa
sasa anajiharibia nionavyo mimi.
Kusema ukweli ni kuropoka...? Mmmh
 
Back
Top Bottom