Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama MagufuliHili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
Paul Makonda, huyu atabeba kura zote za Gen-Z, wasomi wa mjini kuanzia watoto mpaka Wazee, Vijijin kote atabeba Kwa Faida ileile ya Amani inaletwa na CCM, Kura atakazokosa ni Kura za wanaoamin CCM Imekaa madarakani muda mrefu.
PAUL MAKONDA, NI MAGUFULI WA LEO.
MTU ni WATU.
Naunga mkono hoja Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!Siku atakayogombea MH Paul Makonda atakapohombea Urais, awe Ndani ya CCM au Nje, Nitampigia Kura ya Ndio.
Kusema ukweli ni kuropoka...? MmmhLissu amepoteza kibali kwa sasa katika ulimwengu wa roho.
Uungwaji wake mkono umeanza kushuka.
Nadhani, hii imechangiwa na jinsi anavyoropoka pasi kujizuia.
Mlio karibu naye mshaurini hili.
Rekodi yake ni nzuri, lakini kwa
sasa anajiharibia nionavyo mimi.