Mwanasiasa yeyote ana malengo mawili, kupata uongozi na kupata madaraka .

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k

Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo.

Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada.

Ndo maana Lissu alianzia Ccm akaja Nssr akaja Chadema.

Kumbeza Yericko Nyerere na Salumu Mwalim nikutoelewa maana halisi ya Mwanasiasa.
 
Ufafanuzi madaraka VS uongozi
 
Back
Top Bottom