Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyu kassimu deuji ndio kak ake na moo dweujiKUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?
KWA KUWA UMETUCHOKOZA WACHA TUSEME.
Kasim Dewj unapotembe kwenye media usisahau kusema na ubadhirifu wako kuiibia klabu ya Simba. Achana na dola feki ambayo ni kashfa isiyokuwa na ushahidi.
Ueleze uma kwamba ni wewe uliyeingina mikataba feki ya kuendeleza na kupangisha majengo ya Simba ya pale Msimbazi na fedha zote ukaingiza mfukoni mwako wakati ukiwa katibu mkuu wa Simba.
Ulitulaghai kwamba mkataba ni wa miaka 30 huku Simba ikiambulia shilingi milion 48 kwa mwaka. Ni kipindi hiki cha mwenyekiti muheshimiwa Mangungu ndio ilibidi wachimbe hiyo mikataba na kugundua ulidanganya na mkataba ulikuwa ni wa miaka kumi ila wewe ulisema 30 ili muda ulipoisha uchukue kodi uweke mfukoni na uilipe Simba fedha kiduchu.
Umefanya hivyo kwa miaka mitatu baada ya mkataba kumalizika mpaka pale Mangungu na watu wake walipokuja kubumburua dili.
Leo Simba inaingiza zaidi ya milion 500 kwa mwaka kwa kodi ya majengo yake.
Maana yake ni kwamba ulipanga kwa miaka 30 uwe unakusanya kodo ya zaidi ya milion 500 halafu ulipe Simba milion 48 na nyingine zote uweke mfukoni mwako. Wizi gani huu? Baada ya dili kubumburuka kwa wenye mkataba kuweka hadharani mkataba kukwepa kufukuzwa kwenye jengo na kupelekwa mahakamani leo ndio wanalipa zaidi ya milion 500 kwa mwaka. Na wanasema wazi ulificha mkataba kwa nia ya kuiba fedha za klabu.
Hili ni eneo mojawapo linalokufanya ujenge chuki na viongozi wa Simba.
Nani mchafu kuliko wewe Simba?
Ni wewe Kasim Dewj miaka nenda rudi umekuwa ukihujumu mapato ya jezi na kujipatia fedha nyingi kwa kuhujumu mapato ya klabu. Ni nani mwingine mtengeneza jezi feki za Simba kuliko wewe? Ukiijua biashara ya jezi vizuri kuliko mtu mwingine yeyote bado kwenye tenda ya jezi za Simba uliweka mezani milion 300 huku Fred Vunjabei akiweka mezani bilion 1.1 kwa mwaka.
Nani mjinga angekupa tenda? Unamjengea Babra chuki mpaka kwenye jambo lililo wazi na peupe kama hili? Ulitaka uendelee kuhujumu mapato ya klabu mpaka lini? Fedha zako zote umepata kupitia wizi wa kuihujumu Simba. Kwa nini isifike mahali angalau uwe na huruma kwa hii klabu?
Wizi gani huo?
NANI NI MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ KWENYE SIMBA?
UNAPOTEMBEA KWENYE MEDIA TUNAOMBA UWE UNASEMA NA HUU UCHAFU WAKO.
( Jicho la tatu la KAGAME).
WANASIMBA WENZANGU TUUNGANE NA MH KIGWANGALA KUHOJI MAMBO
Feisal mwana wa PutinHaya yote kaleta Feisali
msemaji wa familia alikua azim dewjiNi ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.
kasim dewji aka kd,ndie alikua katibu wa friends of simba FoS.ambapo sasa ndo hao baadhi wameunda bodi ya wakurugenzi simbaHuyu Kassimu uwa kirusi hatari sana kwa tunaomfahamu, nilishangaa sana kurudishwa pale Msimbazi.
Enzi za Migogoro zilikwisha kitambo, kwa nini anaturudisha huko.
Huyu Ndiyo alikuwa na lile group wanajiita makomandoo wa timu wanakaa milangoni ni upigaji tu ulikuwa unaendelea pale.
Kassimu huko tulishatoka klabu iko level zingine,acheni kutoboa meli ambayo mmepanda pia.
Ni ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.
kama mwizi mshawahi kumpeleka mahakamani???kama bado basi hizo tuhuma ni uzushiKUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?
KWA KUWA UMETUCHOKOZA WACHA TUSEME.
Kasim Dewj unapotembe kwenye media usisahau kusema na ubadhirifu wako kuiibia klabu ya Simba. Achana na dola feki ambayo ni kashfa isiyokuwa na ushahidi.
Ueleze uma kwamba ni wewe uliyeingina mikataba feki ya kuendeleza na kupangisha majengo ya Simba ya pale Msimbazi na fedha zote ukaingiza mfukoni mwako wakati ukiwa katibu mkuu wa Simba.
Ulitulaghai kwamba mkataba ni wa miaka 30 huku Simba ikiambulia shilingi milion 48 kwa mwaka. Ni kipindi hiki cha mwenyekiti muheshimiwa Mangungu ndio ilibidi wachimbe hiyo mikataba na kugundua ulidanganya na mkataba ulikuwa ni wa miaka kumi ila wewe ulisema 30 ili muda ulipoisha uchukue kodi uweke mfukoni na uilipe Simba fedha kiduchu.
Umefanya hivyo kwa miaka mitatu baada ya mkataba kumalizika mpaka pale Mangungu na watu wake walipokuja kubumburua dili.
Leo Simba inaingiza zaidi ya milion 500 kwa mwaka kwa kodi ya majengo yake.
Maana yake ni kwamba ulipanga kwa miaka 30 uwe unakusanya kodo ya zaidi ya milion 500 halafu ulipe Simba milion 48 na nyingine zote uweke mfukoni mwako. Wizi gani huu? Baada ya dili kubumburuka kwa wenye mkataba kuweka hadharani mkataba kukwepa kufukuzwa kwenye jengo na kupelekwa mahakamani leo ndio wanalipa zaidi ya milion 500 kwa mwaka. Na wanasema wazi ulificha mkataba kwa nia ya kuiba fedha za klabu.
Hili ni eneo mojawapo linalokufanya ujenge chuki na viongozi wa Simba.
Nani mchafu kuliko wewe Simba?
Ni wewe Kasim Dewj miaka nenda rudi umekuwa ukihujumu mapato ya jezi na kujipatia fedha nyingi kwa kuhujumu mapato ya klabu. Ni nani mwingine mtengeneza jezi feki za Simba kuliko wewe? Ukiijua biashara ya jezi vizuri kuliko mtu mwingine yeyote bado kwenye tenda ya jezi za Simba uliweka mezani milion 300 huku Fred Vunjabei akiweka mezani bilion 1.1 kwa mwaka.
Nani mjinga angekupa tenda? Unamjengea Babra chuki mpaka kwenye jambo lililo wazi na peupe kama hili? Ulitaka uendelee kuhujumu mapato ya klabu mpaka lini? Fedha zako zote umepata kupitia wizi wa kuihujumu Simba. Kwa nini isifike mahali angalau uwe na huruma kwa hii klabu?
Wizi gani huo?
NANI NI MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ KWENYE SIMBA?
UNAPOTEMBEA KWENYE MEDIA TUNAOMBA UWE UNASEMA NA HUU UCHAFU WAKO.
( Jicho la tatu la KAGAME).
WANASIMBA WENZANGU TUUNGANE NA MH KIGWANGALA KUHOJI MAMBO
Lakini ni Kama kuna hoja hapaKasimu ame kwenda kwenye Media kusema yeye si mwenyekiti tena wa kamati ya usajili, Kwakua baadhi ya Wana Simba wamekua waki muuliza hatma ya usajili watimu.
Kwa mujibu wa Kassim Yeye alivyo teuliwa kwenye nafasi hio kama Mwenyekiti wa kamati ya usajili alimwandikia kocha apewe mahitajio ya wachezaji anao wataka kulingana na mapungufu ya timu.
CEO Barbara akawa kikwazo Kwa yeye na kamati iliyoundwa kufanya lolote, Akatoa ushauri Kwa klabu itafute mtu ambaye ata ajiliwa na klabu awe anafanya scouting ya wachezaji kwakua alihisi kamatiyake CEO Alisha itilia mashaka, Kwa bahati mbaya alijibiwa klabu Haina fedha za kumwajili mtu wa aina iyo.
Alicho amua Kassim ni kujitoa kwakua yeye ndiye Anaye ulizwa Kila wakati juu ya Hali ya usajili na yeye Hana nguvu iyo. Kasimu ameamua kujiweka pembeni.
nimesikia mahala wanasema hiviKUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?
KWA KUWA UMETUCHOKOZA WACHA TUSEME.
Kasim Dewj unapotembe kwenye media usisahau kusema na ubadhirifu wako kuiibia klabu ya Simba. Achana na dola feki ambayo ni kashfa isiyokuwa na ushahidi.
Ueleze uma kwamba ni wewe uliyeingina mikataba feki ya kuendeleza na kupangisha majengo ya Simba ya pale Msimbazi na fedha zote ukaingiza mfukoni mwako wakati ukiwa katibu mkuu wa Simba.
Ulitulaghai kwamba mkataba ni wa miaka 30 huku Simba ikiambulia shilingi milion 48 kwa mwaka. Ni kipindi hiki cha mwenyekiti muheshimiwa Mangungu ndio ilibidi wachimbe hiyo mikataba na kugundua ulidanganya na mkataba ulikuwa ni wa miaka kumi ila wewe ulisema 30 ili muda ulipoisha uchukue kodi uweke mfukoni na uilipe Simba fedha kiduchu.
Umefanya hivyo kwa miaka mitatu baada ya mkataba kumalizika mpaka pale Mangungu na watu wake walipokuja kubumburua dili.
Leo Simba inaingiza zaidi ya milion 500 kwa mwaka kwa kodi ya majengo yake.
Maana yake ni kwamba ulipanga kwa miaka 30 uwe unakusanya kodo ya zaidi ya milion 500 halafu ulipe Simba milion 48 na nyingine zote uweke mfukoni mwako. Wizi gani huu? Baada ya dili kubumburuka kwa wenye mkataba kuweka hadharani mkataba kukwepa kufukuzwa kwenye jengo na kupelekwa mahakamani leo ndio wanalipa zaidi ya milion 500 kwa mwaka. Na wanasema wazi ulificha mkataba kwa nia ya kuiba fedha za klabu.
Hili ni eneo mojawapo linalokufanya ujenge chuki na viongozi wa Simba.
Nani mchafu kuliko wewe Simba?
Ni wewe Kasim Dewj miaka nenda rudi umekuwa ukihujumu mapato ya jezi na kujipatia fedha nyingi kwa kuhujumu mapato ya klabu. Ni nani mwingine mtengeneza jezi feki za Simba kuliko wewe? Ukiijua biashara ya jezi vizuri kuliko mtu mwingine yeyote bado kwenye tenda ya jezi za Simba uliweka mezani milion 300 huku Fred Vunjabei akiweka mezani bilion 1.1 kwa mwaka.
Nani mjinga angekupa tenda? Unamjengea Babra chuki mpaka kwenye jambo lililo wazi na peupe kama hili? Ulitaka uendelee kuhujumu mapato ya klabu mpaka lini? Fedha zako zote umepata kupitia wizi wa kuihujumu Simba. Kwa nini isifike mahali angalau uwe na huruma kwa hii klabu?
Wizi gani huo?
NANI NI MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ KWENYE SIMBA?
UNAPOTEMBEA KWENYE MEDIA TUNAOMBA UWE UNASEMA NA HUU UCHAFU WAKO.
( Jicho la tatu la KAGAME).
WANASIMBA WENZANGU TUUNGANE NA MH KIGWANGALA KUHOJI MAMBO
Msemaji hakuwa kassim alikuwa Azi dewjiNi ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.
Chezea Fei Toto wewe?Simba mmeshaanza kushikana mashati bado asubuhi kabisa
Na Uto walikuwa nae Dewji. Ni marehemu kwa Sasa.Azim Dewji, Kassim Dewji, Dr. Mo Dewji wote dugu!
KUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?