Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Saved for further reference...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hayo mengine kuwa nae makiniHuwa nakuamini sana kwa mambo mengine sio soka, tangu uchemke kuwa rufaa yenu imeenda Fifa kwa DHL sikuamini tena
We mtoa maada ni zaidi ya wajinga tena wajinga wa kaleee!! Acha kutuchafua simba kwa sasahv tunacheza mpira halisi na sio ule mliokuwa mnashindana kuroga
Akili za kushikiwa.Kama hujanunua tiketi yako ya Derby ya Jumapili nakuomba sana wahi sasa hivi kanunue kwani tayari Yanga SC wameingia ' mtegoni ' huko Morogoro na sasa wanagombana na kulaumiana kwani mbinu iliyotumia ni ya Kimafia zaidi na kama Yanga SC hatofungwa Jumapili Kichwa changu halali yenu wote.
Jana Yanga SC walionywa vizuri kabisa pale Morogoro kuwa waache kutufuata fuata wana Simba SC hasa kwa kutufanyia mambo yao ya ' Ushirikina ' hawakusikia na mmoja wa Komandoo wao ' Kiherehere ' Carlos Ze Don akawachuuza wenzake na kilichofanyika leo huko Morogoro naongezea kusema kwamba kama Yanga SC hatofungwa na Simba SC Jumapili tarehe 29 April 2018 kanitupeni Mto Ruaha au Rufiji niliwe na Mamba au Kiboko.
Simba SC tusilaumiwe kwa Kichapo cha Kishalubela / Hatari ambacho huenda kikasababisha Yanga SC kutokee ' Fujo ' ambayo tokea ianzishwe haijawahi kutokea kwani wametuchokoza Simba SC ambao tulitaka tu ' ustaarabu ' nao ila kwakuwa wametaka tufanyiane ' uhuni ' sasa wana Yanga SC jiandaeni kulia na wengi wenu ' mtazimia ' mno kwa Mchina hiyo Jumapili.
Na Simba SC tunatoa ' ONYO ' kali ole wenu Hospitali hizi mbili ( majina nayahifadhi ) za Morogoro na Dar es Salaam mtoe ' Maiti ' yoyote kuwapa Yanga SC ambao sasa wanahaha ' kuchomoa ' ili wakafanye yao maeneo ya Kiromo Bagamayo au katika Bahari ya Bagamoyo kwani Simba SC tumeweka ' Majasusi / Manjagu ' hatari hivyo kwa Hospitali yoyote ile itakayotoa ' Maiti ' kwa Yanga SC mtatutambua na tutawachomeeni kwa Baba Magu mapema tu.
Si mmetaka mechi hii ichezwe ' Kiuchawi ' zaidi sasa mtatutambua Simba SC ambao ' Uchawi ' Kwetu ndiyo Makao Makuu na huyo Commando wenu anayewaponzeni kila Derby ikija Carlos Ze Don Jumapili atafute Wodi ya kulazwa kwa ' Presha ' kwani nina uhakika kwa Kipigo Yanga SC itakachokipata naogopa yanaweza yakawa mengine Kwake.
Namalizia tu kwa kusema kama Wewe ni Mwanasimba uliyepo Dar au nje ya Dar nikimaanisha Mikoani na hata Wewe Mwanasimba uliyepo nje ya Tanzania au Ng'ambo tafadhali kajipatie upesi tiketi yako ili uone ' mauaji ' ya ' Shalubela ' hiyo Jumapili.
Tumeshawakamata kila idara Yanga SC na hasa idara ya ' Ulozi ' ambayo sasa inasimamiwa na Babu wa Kiluguru na Bibi wa Kipemba mwenye Ziwa Moja ambaye Siku zote hajawahi kutuangusha wana Simba SC na mpaka sasa Babu wa Morogoro na Bibi wa Kipemba wote wanacheka tu kwani ' shughuli ' wameshaimaliza na kama Yanga SC wanataka kuepuka Kipigo hicho na wasifungwe basi wanatakiwa kumtoa ' Kafara ' ( namaanisha Wafe kabisa ) Makamu Mwenyekiti wao Sanga au Katibu Mkuu wao Mkwasa au Mchezaji mmoja kati ya Tshishimbi na Chirwa ila kwa bahati mbaya wote hao walipotakiwa kutoa ' ushirikiano ' wao wa Kutukuka wa Kufa na Kufariki kwa ajili ya Yanga SC walikataa na kusema uhai ni muhimu kuliko Kaburi.
Nawasilisha.
Simba asipofungwa 2:0 mimi ntatembea uchi mwenge hadi posta
Genta huwa nakuamini kwa dodoso zako...kama ni kweli hakika WAMEKAMATIKA..Kama hujanunua tiketi yako ya Derby ya Jumapili nakuomba sana wahi sasa hivi kanunue kwani tayari Yanga SC wameingia ' mtegoni ' huko Morogoro na sasa wanagombana na kulaumiana kwani mbinu iliyotumia ni ya Kimafia zaidi na kama Yanga SC hatofungwa Jumapili Kichwa changu halali yenu wote.
Jana Yanga SC walionywa vizuri kabisa pale Morogoro kuwa waache kutufuata fuata wana Simba SC hasa kwa kutufanyia mambo yao ya ' Ushirikina ' hawakusikia na mmoja wa Komandoo wao ' Kiherehere ' Carlos Ze Don akawachuuza wenzake na kilichofanyika leo huko Morogoro naongezea kusema kwamba kama Yanga SC hatofungwa na Simba SC Jumapili tarehe 29 April 2018 kanitupeni Mto Ruaha au Rufiji niliwe na Mamba au Kiboko.
Simba SC tusilaumiwe kwa Kichapo cha Kishalubela / Hatari ambacho huenda kikasababisha Yanga SC kutokee ' Fujo ' ambayo tokea ianzishwe haijawahi kutokea kwani wametuchokoza Simba SC ambao tulitaka tu ' ustaarabu ' nao ila kwakuwa wametaka tufanyiane ' uhuni ' sasa wana Yanga SC jiandaeni kulia na wengi wenu ' mtazimia ' mno kwa Mchina hiyo Jumapili.
Na Simba SC tunatoa ' ONYO ' kali ole wenu Hospitali hizi mbili ( majina nayahifadhi ) za Morogoro na Dar es Salaam mtoe ' Maiti ' yoyote kuwapa Yanga SC ambao sasa wanahaha ' kuchomoa ' ili wakafanye yao maeneo ya Kiromo Bagamayo au katika Bahari ya Bagamoyo kwani Simba SC tumeweka ' Majasusi / Manjagu ' hatari hivyo kwa Hospitali yoyote ile itakayotoa ' Maiti ' kwa Yanga SC mtatutambua na tutawachomeeni kwa Baba Magu mapema tu.
Si mmetaka mechi hii ichezwe ' Kiuchawi ' zaidi sasa mtatutambua Simba SC ambao ' Uchawi ' Kwetu ndiyo Makao Makuu na huyo Commando wenu anayewaponzeni kila Derby ikija Carlos Ze Don Jumapili atafute Wodi ya kulazwa kwa ' Presha ' kwani nina uhakika kwa Kipigo Yanga SC itakachokipata naogopa yanaweza yakawa mengine Kwake.
Namalizia tu kwa kusema kama Wewe ni Mwanasimba uliyepo Dar au nje ya Dar nikimaanisha Mikoani na hata Wewe Mwanasimba uliyepo nje ya Tanzania au Ng'ambo tafadhali kajipatie upesi tiketi yako ili uone ' mauaji ' ya ' Shalubela ' hiyo Jumapili.
Tumeshawakamata kila idara Yanga SC na hasa idara ya ' Ulozi ' ambayo sasa inasimamiwa na Babu wa Kiluguru na Bibi wa Kipemba mwenye Ziwa Moja ambaye Siku zote hajawahi kutuangusha wana Simba SC na mpaka sasa Babu wa Morogoro na Bibi wa Kipemba wote wanacheka tu kwani ' shughuli ' wameshaimaliza na kama Yanga SC wanataka kuepuka Kipigo hicho na wasifungwe basi wanatakiwa kumtoa ' Kafara ' ( namaanisha Wafe kabisa ) Makamu Mwenyekiti wao Sanga au Katibu Mkuu wao Mkwasa au Mchezaji mmoja kati ya Tshishimbi na Chirwa ila kwa bahati mbaya wote hao walipotakiwa kutoa ' ushirikiano ' wao wa Kutukuka wa Kufa na Kufariki kwa ajili ya Yanga SC walikataa na kusema uhai ni muhimu kuliko Kaburi.
Nawasilisha.
Genta huwa nakuamini kwa dodoso zako...kama ni kweli hakika WAMEKAMATIKA..
Huo mpira utoboe uende wap,wakat tunataka kukukalisha mapema tu ili mkomekwa mawazo haya, mpira wetu hauwezi kutoboa... Anyway sisi wana wa jangwani Mpira ni uwanjani, n'a Tuna kawaida y'a kueshimu matokeo ya uwanjani. Hayo y'a ulozi tunawaachia nyie kina Genta n'a Simba yenu.