Mwanasimba popote ulipo anza kushangilia kwani wameshauvagaa ' mtego ' wenyewe Morogoro

Tokea niwe na ' Mamaako ' Mzazi umekuwa ukinichukia sana ila hata ufanyeje tambua kuwa Mimi ndiyo Baba yako mdogo na ' Mamaako ' kanipenda hadi kufikia hatua ya Kumsaliti ' Babaako '. Na bahati nzuri hata leo nina ratiba ya kuwa nae ' Faragha ' hivyo usijali nitamuwasilishia hizi ' Chuki ' zako Kwangu ili azidi kunikatia ' Viuno ' vyake ambavyo kwakweli ndiyo vinanipagawisha mno hadi nashindwa kumuacha.
Huna hoja na umethibitisha umesoma chuo cha kata!Hakuna mtu aliyepata malezi ya mama anaweza kuandika ulichoandika,yaani mhitimu wa Mass Comm. hawezi kujenga hoja mpaka utukane!Mzazi wako alikosea kuuza ng'ombe ili akasomeshe ng'ombe mwingine
 
Leo unataka ' nikamkanyage ' vingapi ' Mazeri ' wako?
 
kweli nimeamini ili mimba itungwe lazima mbegu kutoka kwa mwanaume ziwe nyingi ili zikifa nyingine moja tu ndio itayofikia yai na kufungisha mimba na bao la kwanza ndilo lenye mbegu nyingi na nibao lisilo na mbwembwe huja haraka sana.

na ndio maana shemeji yetu Yanga jana alipopigwa bao moja na kaka yetu simba mimba ikatunga mara moja akaanza kutema mate ovyo

kilichobaki nikumpeleka klinik mara 2 tu then tunapokea mtoto wetu

tuandae tu beseni la zawadi kwa shemeji yetu na tumuombee azae salama
 
mashabiki wa simba mtaalikwa kwenye sherehe ya kumtoa 40 shemeji yetu baada ya kujifungua mtoto
 
Hapo kwa Nyoni naona Mkuu uko vizuri....uliona mbali.

Muhimu ni Ushindi tu hayo mengine ni mbwembwe na bahati nasibu. Acha kuwa ' Mpumbavu ' na kwa taarifa yako tu ni kwamba nilianzisha ' Uzi ' huu na kuna mwingine ili tu kuleta hamasa kuelekea katika Derby hiyo na pia tuweze ' Kuchangamshana ' humu kitu ambacho naona nimefanikiwa nacho sana na ' Nyomi ' la Wana Simba SC jana lilikuwa kubwa na ndilo pia limesaidia hata kuongeza ' morale ' kwa Wachezaji wakapambana na kukufunga Wewe Goli Moja la Mimba ya Nguruwe na kimekuingia kiukweli hadi Kunako.
 
Baada Ya Kimoja Kuwaingia Kunakostahili Mimba Yao Haikujificha Na Kina YONDANI akaanza Kutema Mate hovyo alipokuwa akijisikia Kichefuchefu cha Mimba Ya Bao Moja.
 
Muhimu ni Ushindi tu hayo mengine ni mbwembwe na bahati nasibu. Acha kuwa ' Mpumbavu ' na kwa taarifa yako tu ni kwamba nilianzisha ' Uzi ' huu na kuna mwingine ili tu kuleta hamasa kuelekea katika Derby hiyo na pia tuweze ' Kuchangamshana ' humu kitu ambacho naona nimefanikiwa nacho sana na ' Nyomi ' la Wana Simba SC jana lilikuwa kubwa na ndilo pia limesaidia hata kuongeza ' morale ' kwa Wachezaji wakapambana na kukufunga Wewe Goli Moja la Mimba ya Nguruwe na kimekuingia kiukweli hadi Kunako.
Nani Yanga Fala wewe au unafikiri matusi siyajui ..

Kwa taarifa yako hapa Msimbazi Damu..

Mara nyingine jifunze lugha za kistaarabu pimbi wewe..
 
Muhimu ni Ushindi tu hayo mengine ni mbwembwe na bahati nasibu. Acha kuwa ' Mpumbavu ' na kwa taarifa yako tu ni kwamba nilianzisha ' Uzi ' huu na kuna mwingine ili tu kuleta hamasa kuelekea katika Derby hiyo na pia tuweze ' Kuchangamshana ' humu kitu ambacho naona nimefanikiwa nacho sana na ' Nyomi ' la Wana Simba SC jana lilikuwa kubwa na ndilo pia limesaidia hata kuongeza ' morale ' kwa Wachezaji wakapambana na kukufunga Wewe Goli Moja la Mimba ya Nguruwe na kimekuingia kiukweli hadi Kunako.
AAHHAAHHA..GENTA HAWA JAMAA SASA WANAITWA MAKOHOZI FC....AHHAA
 
Back
Top Bottom