Mwanasimba popote ulipo anza kushangilia kwani wameshauvagaa ' mtego ' wenyewe Morogoro

Hakuna uchawi katka mchezo wa mpira wa miguu,
 
We mtoa maada ni zaidi ya wajinga tena wajinga wa kaleee!! Acha kutuchafua simba kwa sasahv tunacheza mpira halisi na sio ule mliokuwa mnashindana kuroga
 
We mtoa maada ni zaidi ya wajinga tena wajinga wa kaleee!! Acha kutuchafua simba kwa sasahv tunacheza mpira halisi na sio ule mliokuwa mnashindana kuroga


Maada = Matter
Mada = Post/Thread
 
emu kuwa makini kidogo....ile ni Dar Young Africans na sio Yanga SC...huo mtego wenu itakua umeenda off target
 
duh kama mpira uchawi tungefuzu weldi kapu kila ikifanyika..mmeshindwa kuifunga Yanga mbovu raundi ya kwanza mtaweza hii majembe yamerudi...Manula anakumbuka mijishuti yaTshishimbi ndio maana mechi ya Lipuli alikuwa anatafuta yellow card kinguvu..Ngomaaaaaa,Tambweee,Chirwaaaaa,Ajibuuuuu#wakimataifa
 
Akili za kushikiwa.
 
Simba asipofungwa 2:0 mimi ntatembea uchi mwenge hadi posta

Naomba utakapokuwa unatembea hivyo ' Uchi ' Mkuu basi nami niwe nyuma yako tu ili Sumaku yangu Mkuyenge iweze kupata ' ushirikiano ' wa Kutukuka na Sumaku yako Nyabe. Tena kwa umbali huo wa Mwenge hadi Posta mambo yatakuwa bam bam / mwake mwake.
 
Genta huwa nakuamini kwa dodoso zako...kama ni kweli hakika WAMEKAMATIKA..
 
Genta huwa nakuamini kwa dodoso zako...kama ni kweli hakika WAMEKAMATIKA..

Umeshakata tiketi yako tayari au bado? Kuna kitu kingine cha hatari cha ' Kishirikina ' kimetokea leo huko Morogoro cha kuhusiana na mechi ya Jumapili je umeshakipata? Kafara lililopigwa Morogoro, Mikese, Chalinze na likamaliziwa na Vigwaza labda Yanga SC warudi Dar na Helicopter Mkuu ila wakirudi na Basi lao tu ' wanayakanyaga ' mengine na badala sasa ya kuwafunga Goli za huruma Tano ( 5 ) tulizozikusudia ili tusimwogopeshe Kocha wao ' Bandeko na Ngai / Mkongo / Mzaire ' Bwana Zahera Mwinyi ambaye hana hata Wiki hapa nchini sasa tutawafunga Wiki ( Magoli Saba ) ili wauwane vizuri pale Mitaa ya Twiga na Jangwani.
 
kwa mawazo haya, mpira wetu hauwezi kutoboa... Anyway sisi wana wa jangwani Mpira ni uwanjani, n'a Tuna kawaida y'a kueshimu matokeo ya uwanjani. Hayo y'a ulozi tunawaachia nyie kina Genta n'a Simba yenu.
Huo mpira utoboe uende wap,wakat tunataka kukukalisha mapema tu ili mkome
 
Kama uchawi ungekuwa unafanya kazi basi Simba wengekuwemo angalau kwenye hatua ya makundi ktk CAF Confederation Cup.

Simba watashinda kwa kuwa kimahesabu wako vizuri kuliko Yanga.

Hata hivyo Simba au Yanga zikiwa dhaifu kwa timu nyingine l, linapokuja wao kukutana udhaifu na uwezo wao hautegemei historia BALI nani yuko fiti zaidi siku ya mechi hiyo.

THADHARI : Marufuku kunng'oa viti wala ugomvi , mechi inachezwa kwa mpira dimbani.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…