Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Yanga atatukoma mwaka huu.GENTAMYCINE:
Ngoma imeisha matokeo ni Simba 1-0 Yanga.
Hawachomoki.
Simba Waooooooo!!!!. Viva simba, Viva Wekundu wa Msimbazi.
ahhahhhahhaaahhaaa..mkuu tayari KICHINJIO KWA SELCOMCARD TAYARI...ebwana hiyo ya MIKESE/VIGWAZA. Ndo naipata toka kwako Mkuu Genta tafadhali hawa BINZARI ndo washaelekea KIBRA?Umeshakata tiketi yako tayari au bado? Kuna kitu kingine cha hatari cha ' Kishirikina ' kimetokea leo huko Morogoro cha kuhusiana na mechi ya Jumapili je umeshakipata? Kafara lililopigwa Morogoro, Mikese, Chalinze na likamaliziwa na Vigwaza labda Yanga SC warudi Dar na Helicopter Mkuu ila wakirudi na Basi lao tu ' wanayakanyaga ' mengine na badala sasa ya kuwafunga Goli za huruma Tano ( 5 ) tulizozikusudia ili tusimwogopeshe Kocha wao ' Bandeko na Ngai / Mkongo / Mzaire ' Bwana Zahera Mwinyi ambaye hana hata Wiki hapa nchini sasa tutawafunga Wiki ( Magoli Saba ) ili wauwane vizuri pale Mitaa ya Twiga na Jangwani.
Yaani we kila sehemu ni siasa tuHii nayo inaweza kuwa sababu ya kuzuia maandamano ya Da' Mange..
Usisahau kutushtua, Nipo hapa Tandale kabisa na ni mzaliwa wa hapa hapa.. Ndugu yetu huyo tumsindikize na kitambaa cheupe na chekundu..Kuna ' Njemba ' ya Kiume humu imejinasibu / imesema kabisa kwa kuweka ' nadhiri ' kwamba endapo Yanga SC itafungwa na Simba SC basi atatembea Uchi wa ' Animal ' kutoka Mwenge hadi Posta hivyo nami Mtoto niliyezaliwa hapa hapa Pwani ya Bahari ya Hindi nimemwomba akishavua hizo Nguo zake na kutembea Uchi hivyo basi niwe nyuma yake muda wote nikimsindikiza hadi afike Posta na turudi tena Mwenge nina uhakika siku hiyo nitachangamka sana na kuwa mwepesi mno.
Mkuu inamaana ndo hiyo..Umeshakata tiketi yako tayari au bado? Kuna kitu kingine cha hatari cha ' Kishirikina ' kimetokea leo huko Morogoro cha kuhusiana na mechi ya Jumapili je umeshakipata? Kafara lililopigwa Morogoro, Mikese, Chalinze na likamaliziwa na Vigwaza labda Yanga SC warudi Dar na Helicopter Mkuu ila wakirudi na Basi lao tu ' wanayakanyaga ' mengine na badala sasa ya kuwafunga Goli za huruma Tano ( 5 ) tulizozikusudia ili tusimwogopeshe Kocha wao ' Bandeko na Ngai / Mkongo / Mzaire ' Bwana Zahera Mwinyi ambaye hana hata Wiki hapa nchini sasa tutawafunga Wiki ( Magoli Saba ) ili wauwane vizuri pale Mitaa ya Twiga na Jangwani.
Hao ni wenye Kikosi cha 1.3 billion za Tz. Sijui faida yake ni nini kama issue ni ushirikina tu.kwa mawazo haya, mpira wetu hauwezi kutoboa... Anyway sisi wana wa jangwani Mpira ni uwanjani, n'a Tuna kawaida y'a kueshimu matokeo ya uwanjani. Hayo y'a ulozi tunawaachia nyie kina Genta n'a Simba yenu.
Weka akiba ya maneno mkuu..Sincerely Kabisa! Nitaingia Na [HASHTAG]#Nyundo[/HASHTAG] Pale Taifa, iwapo [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] atamfunga Simba Nitabanja Korodani Zangu
mkuu hiko unachoahidi utakiweza?nakushauri kesho fanya japo zoezi kidogo anzia mwenge hapo hadi sayansi ndio tutaamini unaweza kutekeleza ahadi yako!!!Simba asipofungwa 2:0 mimi ntatembea uchi mwenge hadi posta
Alafu kwenye uzi mwingine atajisifia yeye ni graduate wa Chuo cha kata cha Tumaini!Waafrika wengi waliofuta ujinga hawana tofauti na mangumbaru
Kama hauoni ulichoandika hakina uhusiano na elimu tayari ni tatizo!Uwezo wako wa akili ni kama akina Akilimali au Dalali!Acha watu wakuone una kipaji sio unatumia nguvu nyingi kujisifia wakati wewe ni kaput tu!Unadhan matusi ndio yanasaidia kuonekana mjanja?BTW Hata hicho chuo ulichosoma ni cha kata tu bora usingekitajaStupid nimesema kuwa nasoma Tumaini University Mimi? Halafu kuanzisha Uzi humu kuna uhusiano gani na Elimu yangu au Chuo changu nilichosoma? Pumbavu mkubwa Wewe! Halafu ungekuwa unajua uwasilishaji wangu wa mambo humu JF wala usingeonyesha huu Upumbavu wako mbele za Watu humu. Nimeanzisha huu Uzi kama sehemu yangu tu ya ' Utani ' na kuanzisha tu hisia za Utani wa Usimba na Uyanga ili mechi iwe na mvuto wake na Watu ' tucharurane ' kabla ya Mtanange wenyewe kitu ambacho ' Mpumbavu ' Wewe usingefahamu. Na kwa taarifa yako ni kwamba hata huu Uzi wangu umesaidia kuwaongezea TFF mapato kwani naamini umesambaa maeneo mbalimbali hivyo hata ununuzi wa Tiketi umeongezeka na nimewasaidia pia Pumbavu mkubwa Wewe.Sijasoma Tumaini University bali nimesoma SAUT Mwanza Pumbavu mkubwa Wewe. Nakusubiri urudi tena Kwangu ili nimalize kabisa Kazi kwani naona unanitafuta na bahati nzuri umekutana na Jeshi la Mtu mmoja Pumbavu. Na laiti ungeielewa vyema sana hii Signature yangu ya Kipekee ya ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' wala usingepata tabu na Mimi Pumbavu Wewe.
Kama hauoni ulichoandika hakina uhusiano na elimu tayari ni tatizo!Uwezo wako wa akili ni kama akina Akilimali au Dalali!Acha watu wakuone una kipaji sio unatumia nguvu nyingi kujisifia wakati wewe ni kaput tu!Unadhan matusi ndio yanasaidia kuonekana mjanja?BTW Hata hicho chuo ulichosoma ni cha kata tu bora usingekitaja