OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Wakuu mpo?
Ni ajabu sana kuona shabiki wa simba Sc na viongozi wao wakilaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira😡 hivi mbumbumbu mtaelimika lini?
Mnataka kukata kuti mlilokalia juu ya mnazi mrefu?
Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Simba Sc mnaijua?
Mkipata jibu sahihi ombeni radhi kwa wapenzi wa soka na muache utoto.
Nawasilisha.