Mwanasimba yeyote anaye lalamika na kulaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira hana akili!

Mwanasimba yeyote anaye lalamika na kulaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira hana akili!

Wakati wanapewa ndege ya bure hawakujuwa kama kuna serikali, na wakati uwanja wa Mkapa unakarabatiwa usiku na mchana uchezewe fainali hawakujuwa kuna serikali.
Waliomba ndege au serikali ilijipendekeza? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom