OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Peleka malalamiko yako CASWakuu mpo?
Ni ajabu sana kuona shabiki wa simba Sc na viongozi wao wakilaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira😡 hivi mbumbumbu mtaelimika lini?
Mnataka kukata kuti mlilokalia juu ya mnazi mrefu?
Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Simba Sc mnaijua?
Mkipata jibu sahihi ombeni radhi kwa wapenzi wa soka na muache utoto.
Nawasilisha.
Duuh! Kwa hiyo popoma GENTAMYCINE ni kilaza!Wakuu mpo?
Ni ajabu sana kuona shabiki wa simba Sc na viongozi wao wakilaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira😡 hivi mbumbumbu mtaelimika lini?
Mnataka kukata kuti mlilokalia juu ya mnazi mrefu?
Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Simba Sc mnaijua?
Mkipata jibu sahihi ombeni radhi kwa wapenzi wa soka na muache utoto.
Nawasilisha.
Simba ikikatazwa kutumia uwanja wa Mkapa utageuka uwanja wa malisho ya ng'ombe. Bila Simba, uwanja wa Mkapa hauna tofauti na Nakivubo au ule wa Al Hilal uliogeuka magofu ya kale.Wakati wanapewa ndege ya bure hawakujuwa kama kuna serikali, na wakati uwanja wa Mkapa unakarabatiwa usiku na mchana uchezewe fainali hawakujuwa kuna serikali.
Sasa leo serikali iamuwe Simba marufuku kutumia viwanja vyake mtarudi Azam Complex?
Inakatazwaje wakati wakatazaji ndio bodi ya wadhamini hao hao waliopo bungeni na serikaliniSimba ikikatazwa kutumia uwanja wa Mkapa utageuka uwanja wa malisho ya ng'ombe. Bila Simba, uwanja wa Mkapa hauna tofauti na Nakivubo au ule wa Al Hilal uliogeuka magofu ya kale.
Nadhani ungemjibu huyo aliyeibua hiyo hoja na siyo kunijibu mimiInakatazwaje wakati wakatazaji ndio bodi ya wadhamini hao hao waliopo bungeni na serikalini
Bodi ya wadhamini unawajua hao wadhamini?Hakuna hoja!
NDEGE&MAGOLI: Wanasiasa ndiyo wanajipendeza kwa Simba&Yanga sababu zina fan base kubwa tayari hivyo ni kwa manufaa yao!
Biashara United ilishindwa kusafirisha timu kwenda Misri October 2021 mbona hawakutoa hizo ndege zao?
VIWANJA:Kucheza BM Stadium serikali inakunja 15% ya mapato ya mlangoni hiyo ni biashara siyo hisani na ni timu mbili tu ndiyo zinaingiza mapato ya kueleweka hapo Lupaso zaidi litakuwa gofu.
Simba au Yanga haijawahi kuomba msaada wa ndege serikalini.Wakati wanapewa ndege ya bure hawakujuwa kama kuna serikali, na wakati uwanja wa Mkapa unakarabatiwa usiku na mchana uchezewe fainali hawakujuwa kuna serikali.
Sasa leo serikali iamuwe Simba marufuku kutumia viwanja vyake mtarudi Azam Complex?
Kama Mama yako Mzazi na Mama yake Mzazi aliyeanzisha huu Uzi.Duuh! Kwa hiyo popoma GENTAMYCINE ni kilaza!
Nakujua kuwa una Akili sana Mkuu, ila nimekushangaa mno kupoteza muda wako Kumuelimisha huyo Mpumbavu na Mnafiki hapa JamiiForums nzima.Simba au Yanga haijawahi kuomba msaada wa ndege serikalini.
Ni serikali ndio inayojisogeza kwa Hizi timu ili kuteka fanbase....ili kutafuta uungwaji mkono...
Kwasabu hata wao serikali wanatambua wamepoteza Mvuto kwa watu...
Yaani ni afadhali Mwamposa anaweza kupata crowd kubwa ya maelfu ya watu wakaja, wakasali, wakatoa na sadaka kuliko CCM.
Ukweli uko pale pale🐸🐸🐸Wakuu mpo?
Ni ajabu sana kuona shabiki wa simba Sc na viongozi wao wakilaani wanasiasa kuingilia mambo ya mpira😡 hivi mbumbumbu mtaelimika lini?
Mnataka kukata kuti mlilokalia juu ya mnazi mrefu?
Bodi ya wakurugenzi na wadhamini Simba Sc mnaijua?
Mkipata jibu sahihi ombeni radhi kwa wapenzi wa soka na muache utoto.
Nawasilisha.
Kama Baba yako mzazi, shwaini.Nakujua kuwa una Akili sana Mkuu, ila nimekushangaa mno kupoteza muda wako Kumuelimisha huyo Mpumbavu na Mnafiki hapa JamiiForums nzima.
Ambaye 'alikufokoa' vile vile.Kama Baba yako mzazi, shwaini.
Namimi nikamfokowa mpaka akatowa nnya.Ambaye 'alikufokoa' vile vile.