Kama Mimi nilivyokufokoa hadi ukaenda kupigwa Bomba ili ukae sawa? Unachezea Wanaume wa Mkoa wa Mara (Musoma) kwa Kuushindilia Mchi wote pale Kunako? Kudadadeki.....!!!
Wakati wanapewa ndege ya bure hawakujuwa kama kuna serikali, na wakati uwanja wa Mkapa unakarabatiwa usiku na mchana uchezewe fainali hawakujuwa kuna serikali.