Mwanasoka Raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" Sababu?

Mwanasoka Raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" Sababu?

Mrusi na Marekani walikuwa anadondosha mabomu daily ktk majiji ya Raqqah,Allepo, Kobane, Tadmur,Mosul n.k ndani ya Iraq na syria lakini hakukuwa na matangazo kama haya ya Ukraine.

Na hizi propaganda zote za kimagharibi ni kwasababu tu anaepigana ni hasimu wao (Putin) ,laa sivyo angekuwa ni mmarekani n uingereza ndio wanashambulia basi media zao zote zingebariki

Labda waliouawa ni wanyama,, hawa wazungu bac tu.
 
Safi sana baba, mijitu minafiki hatari yaani utaskia nasimama na Ukraine wakati mivita inayochochewa na hao wahuni ni hatari sana
watanzania wenzako na waafrika wanauliwa kila leo ktk izo nchi za kiarabu hujioni kuwa na ww ni mnafki na mbaguzi wa ngozi yako?
 
Makundi hayo yanatengenezwa na marekani na kuwasimika watawala wa michongo na kuanza kunyonya mafuta yao kama kupe. Ndio maana ktk nchi nyingi vita huwa haziishi na ukiangalia kwa jicho la tatu utakuta kuna mkono wa marekani.

Hata hiyo vita ha Ukraine chanzo chake ni marekani
ivi marekani ni nani mpaka aingie ndani kwako atengeneze makundi baina ya wenyewe kwa wenyewe bila nyinyi wwnyewe kushiriki? ivi kungekuwa na umoja yeye angepata wapi nafasi? ubinfsi wa viongozi wao ndo ukatengeneza upinzani ndipo watu wakapatia nafasi? mkileta habari ya udini wakati hizo nchi kiarabu hadi kesho kuna mvutano wa vita kabisa baina ya shia na sunni , hilo hamlioni? afu hao waarabu tunaowatolea sababu nao kila leo wanawafanya vibaya ndugu zetu wanaoenda kutanya kazi kwako mpaka kuwauwa kabisa ila hilo hamlioni km ubaguzi wala la kulipigilia kelele.
 
Maisha wanayoishi wa Ukraine hii wiki ndio maisha wanayoishi wa middle east na Africa kwa miaka mingi.

I'm pro-peace lakini kitu kinachonitia hasira Hawa wazungu kujiona hawastahili vita ni kweli hakuna aneyependa kufa ,lkn wao wanasema hayo mambo ya kuuana ni ya waafrica na waarabu....yaani sisi tukifa hakuna shida.

Kuna muda naona wauwane tu 💔

Kuna mabeberu weusi huwaelezi ki2 kwa hao jamaa
 
Back
Top Bottom