Mwanasoka Raia wa Uturuki Aykut Demir alikataa kuvaa tisheti maalumu zilizoandikwa "No To War" Sababu?


Labda waliouawa ni wanyama,, hawa wazungu bac tu.
 
Safi sana baba, mijitu minafiki hatari yaani utaskia nasimama na Ukraine wakati mivita inayochochewa na hao wahuni ni hatari sana
watanzania wenzako na waafrika wanauliwa kila leo ktk izo nchi za kiarabu hujioni kuwa na ww ni mnafki na mbaguzi wa ngozi yako?
 
ivi marekani ni nani mpaka aingie ndani kwako atengeneze makundi baina ya wenyewe kwa wenyewe bila nyinyi wwnyewe kushiriki? ivi kungekuwa na umoja yeye angepata wapi nafasi? ubinfsi wa viongozi wao ndo ukatengeneza upinzani ndipo watu wakapatia nafasi? mkileta habari ya udini wakati hizo nchi kiarabu hadi kesho kuna mvutano wa vita kabisa baina ya shia na sunni , hilo hamlioni? afu hao waarabu tunaowatolea sababu nao kila leo wanawafanya vibaya ndugu zetu wanaoenda kutanya kazi kwako mpaka kuwauwa kabisa ila hilo hamlioni km ubaguzi wala la kulipigilia kelele.
 

Kuna mabeberu weusi huwaelezi ki2 kwa hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…