Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Nilijua labda wameanzisha hii course hivi karibuni, SUA na biashara toka liniKwanza huu ni uongo.. SUA Toka lini wanatoa degree ya biashara.. Uongo mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua labda wameanzisha hii course hivi karibuni, SUA na biashara toka liniKwanza huu ni uongo.. SUA Toka lini wanatoa degree ya biashara.. Uongo mtupu
Tuanzie hapa kwanza ndio tutaelewa na huko mbeleView attachment 2332698
Nabii wa naqmaWewe jamaa hua unatafta habari negative tu
Agribusiness ipo sua kitamboNilijua labda wameanzisha hii course hivi karibuni, SUA na biashara toka lini
Hata kama, Huyu Hana hyo degree,, Unapozungumzia AEA ni uchumi uliobase kwenye shughuli za Kilimo..Agribusiness ipo sua kitambo
28yrsGeorge hajasema kama ni degree, dipolma ama certificate, mwandishi ndio kaunda hiyo degree..
Hivi hakusema mwaka wa kuzaliwa, tupime na huo mwaka wa shule.. Maana wachezaji bongo kupunguza miaka hawajambo.
Kama ni kipanga sana tuseme alimaliza akiwa na miaka 23 mwaka 2010 na sasa ni miaka 12 baadae, maana yake kwa sasa ana miaka 35. Na hata ukimuona ni mkubwa.naaam niko hapa napitia mahojiano ya ya mpole na makanjanja ya mwanaspoti mambo ni bull bull
![]()
View attachment 2332381
Dah,imeandikwa kabisa amemaliz degree SUA 2010 mkui hujaona!?Kwani kuna mahali kasema amesoma degree inawezekana alisoma certificate ya mwaka moja tu baada ya kuhitimu kidato cha nne...
Agribusiness au Agrobusiness! Maana enzi hizo hii course ilikuwa ni maarufu sana.Agribusiness ipo sua kitambo
Sikumbuki vizuriAgribusiness au Agrobusiness! Maana enzi hizo hii course ilikuwa ni maarufu sana.
Kumbuka aliingia chuo kikuu akiwa tayari na pesa, acha hiyo GPA ya 4.8, hata angetaka PhD bila kusoma angepata.Labda kabukua kama Erick Shigongo.
Eric hajagusa kabisa elimu ya sekondari na alifeli elimu ya msingi ila akatandika GPA ya 4.8 Chuo Kikuu kwenye shahada yake ya kwanza.
Uwe unasoma habari kamili mkuuKwani kuna mahali kasema amesoma degree inawezekana alisoma certificate ya mwaka moja tu baada ya kuhitimu kidato cha nne...
Achana nae huyo, hao ndio wanaocomment bila kusoma threadMwandishi amesema nanukuu"wanaomchukulia poa George Mpole wanakosea jamaa ana Shahada ya SUA". Sasa ndio maana watu wameuliza miaka mitano amesoma ordinary level na Advanced Level?
Bado inagoma. Jumla hapa tayar ametumia miaka 3.inabaki miwili tuKuna wale wanasoma QT sekondari miaka miwili na Advance mwaka mmoja kwahiyo inawezekana [emoji16]
Hapohapo na jiwe moja la biashara?Mwandishi amesema nanukuu"wanaomchukulia poa George Mpole wanakosea jamaa ana Shahada ya SUA". Sasa ndio maana watu wameuliza miaka mitano amesoma ordinary level na Advanced Level?
Agribusiness,course inaitwa Bsc. Agricultural Economics and Agribusiness (AEA)Agribusiness au Agrobusiness! Maana enzi hizo hii course ilikuwa ni maarufu sana.