Mwanaume 45+

Kwa age hyo c ndo risk ya kupata watoto wenye congenital anomalies
 
Huyo wa umri huo si ana mke au unataka mitala mana akikwambia hajaoa ni uongo

ila tuseme ukweli ukitaka utulie akili mwanamke tafta mwanaume wa kuanzia miaka 37-44(kwangu mimi) mara nying wanakuwa wametulia fulan hv hana papara hata kitandani anachojua anachofanya!anajua sana wajibu wake nini ! sasa hawa wa kuzaliwa 1985men/ 1986mke NYOTA ZOOOTE UTAZIONA! yaan wana utoto jaman jaman! ova bado wanachuo vile!

mie mwanangu wa kike nikijabahatika kwakweli nitazingatia sana suala la umri wa mume wake aic potelea mbali asinielewe! eti mume ana 31 mke 29 pyeeee!
 
Wanawake wabovu, mara nyingi ndio wenye Masharti...

Wana rekodi na uzoefu mkubwa ya kutendwa na watu aina tofauti.

Kuweka chaguo lako siwezi kuona ajabu, ninacho kuhurumia ni kwamba, SISI wanaume ni walewale.

Ni jitihada yako...heshima na kujitambua zaidi kama Mwanamke na kujua Majukumu yako, vinginevyo 45+ DMS (Doesn't make sense)
 
rekebisha kauli sema wanawake wanaojitambua! wewe ndo mbovu maana umeshakata tamaa ya maisha
 
Huyo wa umri huo si ana mke au unataka mitala mana akikwambia hajaoa ni uongo
Mkuu wapo sio lazima awe hajawahi oa. Wapo wagane(sijui kama ni Kiswahili sahihi- waliofiwa na wake zao) walioachwa etc.
 
rekebisha kauli sema wanawake wanaojitambua! wewe ndo mbovu maana umeshakata tamaa ya maisha
Nirekebishe kauli yangu vipi Mrs air...!!
Unanitaka nitoe maoni yangu unavyo taka wewe...!?

Sijaona wapi nimekosea accordingly to niliye lenga kumpa USHAURI.

Samahani, sikujua kama na wewe MRS ujumbe huu unakuhusu...!
 
hahahahahahahahah! haunihusu kwasababu sitaft mwanaume ila kiuhalisia ndo nayokueleza hayo! peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…