Mwanaume 45+

Mwanaume 45+

Mwanaume wa 45+ yupo kweli?
Ukweli upo hiviiiii!!
* Below 45 don't bother yourself ku pm please!
* Mkristo
* Mpole
* Relocate🙁! Yawezekana?
* Waume za watu don't bother ku pm please!

****Kuna watu under 30 yrs mnasumbua sana na pm zenu zinakera***
Acha nifanye research yangu nijifunze kitu.
Mkuu....
Kesho natimiza kigezo chako.....
Naomba nikupange ukuwe 2nd wife....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
wanawake reaonin zenu mnajua wenyewe chance ya kupata man wa kueleweka inapungua as age inavoongezeka

45+ wenye kujitambua wameoa tyr
au kama hajaoa basi hajielew na hato jielewa kamwe

ukitoa kund la wacace waliosalitiwa au kufiwa na wake zao
 
Mkuu....
Kesho natimiza kigezo chako.....
Naomba nikupange ukuwe 2nd wife....[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Second wife hapana Mkuu!
 
wanawake reaonin zenu mnajua wenyewe chance ya kupata man wa kueleweka inapungua as age inavoongezeka

45+ wenye kujitambua wameoa tyr
au kama hajaoa basi hajielew na hato jielewa kamwe

ukitoa kund la wacace waliosalitiwa au kufiwa na wake zao
Rejea mada yangu ' read between the lines Mkuu'
 
Back
Top Bottom