Mwanaume 45+

Mwanaume 45+

Id za kaleee,ooh mbona we mtu mzima,Id mpya ooh mbona kila mwenye kuleta tangazo huku ana id mpya,Ukiwasikiliza wanadam hakuna utakalo lifanya
 
ila tuseme ukweli ukitaka utulie akili mwanamke tafta mwanaume wa kuanzia miaka 37-44(kwangu mimi) mara nying wanakuwa wametulia fulan hv hana papara hata kitandani anachojua anachofanya!anajua sana wajibu wake nini ! sasa hawa wa kuzaliwa 1985men/ 1986mke NYOTA ZOOOTE UTAZIONA! yaan wana utoto jaman jaman! ova bado wanachuo vile!

mie mwanangu wa kike nikijabahatika kwakweli nitazingatia sana suala la umri wa mume wake aic potelea mbali asinielewe! eti mume ana 31 mke 29 pyeeee!

Ahaa c kweli wote wako kitoto kwan mi ni wa 1984 but cna izo tabia za kitoto kwan najielewa na nna familia ya watoto wawili na ninesoma elimu yangu nzuri tuu..
 
Unayemtaka 45+ lazima:
Alishawahi oa yakamshinda!
.Ana familia(watoto).
.Ana tabia za kujua yeye tu.
.So mvumilivu wa changa moto za ndoa.

Jaribu ukimpata ni majaaliwa na bahati yako!
Dah... Na zaidi hakuna mwendo mwingine anaumudu zaidi ya the dying krochkroch au wa kimisheni ...mambo 69 au the tired dog ndiyo usahau kabisa... [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji13]
 
Back
Top Bottom