Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

HATA KAMA AMEBADILISHWA JINSIA!
HAPO WALIPOTOLEA HUYO MTT HAPAWEZEKANI KIPTISHA MTOTO!
angefaniwa operation sawa kabisa!ningeamini as angekuwa amebaki na via za uzazi za kike but juu maumbilni ya kiume!

but motto kwenye dyudyu anapitaje mpk kutoka!
 
Hi hi hihihihihihi hey (in miss Eliot voice)

We bwana kachanwa kachanwa tuu

Soma ingine hii hapa

UKISTAAJABU YA MUSA
YA FIRAUNI YATAKUSHINDA

JIONEE MWENYEWE
Ooooh!! Wanatia huruma...

Hivi bado hawajatenganishwa?!



Ila Money penny afadhali hii ina mantik..
Kuliko ile ya mwanaume kuzaa kupitia male organs,

Kwanza hiyo uterus ya kubebea mtoto ina uhusiano gani na uum£..

Mi siamini kabisaaa!!![emoji49]

It is impossible eti... [emoji26]
 
siamin hii video...huenda ni movie.......TUNDU LA MKOJO/MANII HALIWEZI PITISHA ICHO KIUMBE CHENYE ZAIDI YA KILO....UUME HAUWEZI KUTANUKA KIASI ICHO....PIA MFUMO WA MKOJO LAZIMA UHARIBIKE na mwanaume hana fuko LA uzazi..yan kibaolojia haiingii akilini......mfumo was damu,chakula na hewa(sina uhakika) mwanaume hana nafasi ya kiumbe icho.....NAPINGA VIDEO KWA 100%
 
Hiyo fake ht Anold Schwazinigger alishacheza muvi za hivyo eti kabebeshwa ujauzito na akazaa mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…