Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna ona raha wanawake tunawaombeni kodi ya meza kodi ya saloon kodi ya msosi mnaona tunabweteka wanawake wanapenda hela basi zaeni sasa muone ilivyo kazi
Na bado
Kwani haujaangalia hiyo video....[emoji15] [emoji15]Mkishaa amini hili naomba mnishawishi na mm niamini!
Tazama hiyo clip, utaona amemtolea juu ya deshe palipasuliwa kidogoAmemtolea wapi huyo mtoto?
Ndoivo comrade...Ahahahahahaa
Karibu siku zinavyozidi kwenda, dunia I napata uvumbuzi mwingi sana
Amepatikana mwanaume aliezaa huko nchi ni marekani
Huyu hapa kwenye video muone
Yaan hata iweje, uum£ haupo elastic hivyo,, yaan kupikia hapo angechanika kabisa,Aya ndo mwenzio kachanwa kama scissor na kapita
Nimeangalia. Ila je mimba alibeba kwenye kibofu cha mkojo??Kwani haujaangalia hiyo video....[emoji15] [emoji15]
Mwenzio katoa hapo hapo
Angalia vizuri utaonaaaaaaaa
Comrade.....Nimeangalia. Ila je mimba alibeba kwenye kibofu cha mkojo??
mnavyotuingiza sisi mnaona rahaeWatu wengine wana moyo,kwa jinsi ninavyoogopa kuwa mwanamke halafu kuna mwanaume anafikia mpaka kutamani kuzaa,hapa kweli ndio utajua binadamu tuko tofauti sana.Yaani unaingia kabisa chumbani unaambiwa haya vua sasa nikuingize hiyo mimba,walahi tutachinjana...