Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unashangaa bure? Maajabu yote yanalipiwa. Ukiona maajabu umeyashangaa bure ujue ni animationsHahaha!! Amna nimeshangazwa na hlo jambo tu mkuu
Huyo sio mwanaume. Ni mwanamke mwenye muonekano wa kiume.Kwa nn mwanaume asizae, mwanaume anaweza kuonekana mwanaume kwa nje ila kiundan ni ana maumbile yote ya kike na hata ma ovary anayo na akitoka na mwanaume mwenzake anapata mimba ila atazaa kwa kupasuliwa au kawaida itategemea yy anatakaje
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Me nimeulza tu jmn nmeambatansha na clip il watu waelew zaid
Nmeshakarbia mdaa xanaKaribu sana JF
Pole sana.Kwan jaman me nmeingia jf sina shda na mtu nmepost mada xx mnanshambulia kwa kosa gan kwan kuna binadamu asye kosea tungerekebshana polepole tu me n muelewa jmn
Kweli sa sijui tu Wa meseji utakuaje.
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Et jaman me nmeuliza tu lakn kama vile c stail alf cha kushangaz sjamvunjia mtu heshima yakeMsigombane ndugu zangu,mtoa post ametaka tu kufahamishwa kama alichokiona kinawezekana,swala la mwandiko lisiwe tija sana, ni kweli amekosea ila ameeleweka,tuifanye jf kuwa kijiji salama cha maarifa na isiwe sehemu ya kuwafanya wageni na wazoefu waione chungu
Great thinkers eehPole binti yangu, Karibu Sana JF, Ni pazuri Sana humu, Ila jitahidi kutofautisha na mitandao mingine yooote uifahamiyo.
Nasikiaga tetesi kua ukimtia mimba mtoto wa mganga inakurudia sasa nkawa najiuliza unajifunguaje laahaula duh!!!! Siamin
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app