Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

muhumbaji- muumbaji


tulia kwanza.

alafu wazungu waongo sana na lengo kuu la clip ni kuwaaribu watu weusi.

wameleta mtindo wa tigo baasi weusi waneushobokea mlango wauani sasa ineletwa kubeba mimba.

km c laana ni nini?
 
Kwa nn mwanaume asizae, mwanaume anaweza kuonekana mwanaume kwa nje ila kiundan ni ana maumbile yote ya kike na hata ma ovary anayo na akitoka na mwanaume mwenzake anapata mimba ila atazaa kwa kupasuliwa au kawaida itategemea yy anatakaje

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Huyo sio mwanaume. Ni mwanamke mwenye muonekano wa kiume.

Sent from my GT-I9100 using JamiiForums mobile app
 
Unanisikitisha sana mdogo wangu unapokuwa mgeni halafu ukawa mjuaji kiasi hicho. Nakushauri tu wacha ujuaji watu hawaendi hivyo lait tungekuwa wajuaji kama wewe kipindi tunaingia jf tusingepata ma aunt, ma best, makaka, marafiki, mawifi, madada na hata ndugu.

Jifunze kutoka kwa wenyeji kwa sababu sidhani kama leo ndio itakuwa mwisho wako kuingia humu jf.

Mwishowe tutakuweka kwenye list ya washamba waliowahi kutokea huku jf.

Jf haitaki jazba mdogo.
 
Msigombane ndugu zangu,mtoa post ametaka tu kufahamishwa kama alichokiona kinawezekana,swala la mwandiko lisiwe tija sana, ni kweli amekosea ila ameeleweka,tuifanye jf kuwa kijiji salama cha maarifa na isiwe sehemu ya kuwafanya wageni na wazoefu waione chungu
 
Kweli sa sijui tu Wa meseji utakuaje.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app


mie naona bora' she' awe anaboronga hv kuliko 'men'! imagn mmekutana na men sehem mkabadilishana namba mnaanza kuchart kujuana unakuja ona madubwana km haya!(kwakweli wanawake ambao hamjaolewa mconsider na vitu km hvhahah! imagne mchumba kaandika barua ya kishika uchumba wazaz ndo wanaisoma wanakutana na upomole wa namna hii,mara H badala ya A,L badala ya R !arghh! had stim a kuchat zinakataga aic
 
Msigombane ndugu zangu,mtoa post ametaka tu kufahamishwa kama alichokiona kinawezekana,swala la mwandiko lisiwe tija sana, ni kweli amekosea ila ameeleweka,tuifanye jf kuwa kijiji salama cha maarifa na isiwe sehemu ya kuwafanya wageni na wazoefu waione chungu
Et jaman me nmeuliza tu lakn kama vile c stail alf cha kushangaz sjamvunjia mtu heshima yake
 
Wazungu ni shiida

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Nasikiaga tetesi kua ukimtia mimba mtoto wa mganga inakurudia sasa nkawa najiuliza unajifunguaje laahaula duh!!!! Siamin

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Pole binti yangu, Karibu Sana JF, Ni pazuri Sana humu, Ila jitahidi kutofautisha na mitandao mingine yooote uifahamiyo.
 
Haya jamani naomba msamaha kwa niaba yake next time atajifunza kuandika vizuri,
Nyie watu ni wabaya sana mmenifanya nirudi kusoma post yake na comments zenu [emoji28] moja baada ya nyingine. Ila mmejitahidi kumuelewesha nadhani atakuwa ameelewa vizuri.
 
Nasikiaga tetesi kua ukimtia mimba mtoto wa mganga inakurudia sasa nkawa najiuliza unajifunguaje laahaula duh!!!! Siamin

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app

Labda huyo aliyepata mimba alitembea na mtoto wa mganga
 
Back
Top Bottom