Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

Elimu, Elimu, Elimu!!! Money Penny uliyeleta mada hii na kuweka hiyo clip una idea yoyote kuhusu anatomy ya viongo vya uzazi vya mwanamke na mwanamme kwa ndani na kwa nje?? Elimu, Elimu, Elimu! Shame on you!!
me mwenyewe nashangaa sjui mtoto kapita kwenye kibofu cha mkojo alikuwa anaishi wapi sijui hahhahaha ANATOMY SHIDA SANA
 
Karibu siku zinavyozidi kwenda, dunia I napata uvumbuzi mwingi sana

Amepatikana mwanaume aliezaa huko nchi ni marekani

Huyu hapa kwenye video muone


.mmhh kwa hiyo kati ya ogenesis na spermatogenesis kipi kina muhusu, au vyote?
 
Back
Top Bottom