Mwanaume ajifungua mtoto nchini Marekani...

hahahahahahahahaaa... nasikia walimfanyia implantation of uterus kwanza halafu wakachukua sperm na ovum wakazimix( fertilization) kama jinsi ambavo wanavotengenezaga test tube babies then huyo embryo wakamuimplant kwenye uterus ambaye walishamuimplant jamaa!! from there wakacreate tu suitable enviroment kwa hako ka fetus ku grow...... aseeeeehhhh bad newz!!!!
Ila hii inawezekana in a science world though it is too risk
 
Hahahaha
Uuuwi

Haya wapendwa njooni huku

Nimefungua you tube Channel. Yangu jina Money PENNY Tz
Msisahau ku subscribe plz
Link hii hapa
DADA WA MAPENZI NOMA SANA, MWANDISHI
MKALI, WA UKWELI
AMEKUJA SASA LIVE KWA YOU TUBE

BONYEZA HAPA UMWONE

Hatukuoni mkuu.
 
Habari wana jukwaa wenzangu,

Katika dunia ya leo kuna vitu vingi vya sayansi vimetengenezwa na kuwezekana vingine vikawa na faida na vingine hasara nimeona, clip ya video lakini sijaamini kama kuna uwezekano wa mwanaume kubeba mimba na kujifungua eti mtoto yani hadi nimemiss kichefu chefu nilipoangalia nikaona sasa binadamu wanavyo mrekebisha muumbaji kwa kuona alivyoumba alikosea sana.

Nimeandka hii thread samahani kwa nitakayemkera atakapoangalia hiyo clip.
 
Attachments

Het wana jukwaa wezangu katika dunia ya leo kuna vitu ving vya sayans vimetengenezwa na kuwezekana vingine vikawa na faida na vingine hasara nimeona clip ya video lakin sjaamin kama kunauwezekano wa mwanaume kubeba mimba na kujifungua et mtoto yan had nimehs kichefu chefu nilipo angalia nkaona xx binadamu wanavyo mrekebisha muhumbaj kwa kuona alivyo umba alikosea sana!!! Nimeandka hii thread samahan kwa ntakaye mkera atakapo angalia iyo clip
Unacheza na wazungu, sio kweli hata kidogo.[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Inaonekana uliipania sana JF. KARIBU JAMVINI
 
Unacheza na wazungu, sio kweli hata kidogo.[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Kwa nn mwanaume asizae, mwanaume anaweza kuonekana mwanaume kwa nje ila kiundan ni ana maumbile yote ya kike na hata ma ovary anayo na akitoka na mwanaume mwenzake anapata mimba ila atazaa kwa kupasuliwa au kawaida itategemea yy anatakaje

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Sio nature yake

Back
Top Bottom