Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

Mwanaume akikupenda na kukuhitaji katika maisha yake hakosi namna yakukupata

MM

SI NMEKUA CHAWA WAKO TAYARI CHOCHOTE KINACHOKUHUSU NIULIZWE MM NDO MTUNZA SIRI ZAKO NA CHAWA WAKO HUMU JF
HUNA BAYA MAMAAAAAAA
CHAKORIII FO RIIIIIIIli
Niwache😁😁😁hukawii kunitia kibiriti
 
nafikiri ishakuwa mbovu ndugu yangu.😆😆

Nafurahi kutumia uwasilishaji chonganishi.hakika mnapenda lugha rahisi sana
Wengine hizo fasihi hata hatuzijui, hit it on the head ili ijulikane moja😁, haya nieleweshe, hadi hapo mlipofika mwamba alimega keki ya taifa😁
 
Wengine hizo fasihi hata hatuzijui, hit it on the head ili ijulikane moja😁, haya nieleweshe, hadi hapo mlipofika mwamba alimega keki ya taifa😁
Mbona mnanichanganya jamani Kwa kutumia wakati uliopita ndugu mwndishi?

😎😎😎
 
Mbona mnanichanganya jamani Kwa kutumia wakati uliopita ndugu mwndishi?

😎😎😎
Aaah kwamba nitumie wakati uliopo timilifu?😁 haya endelea kunielewesha, mwamba anamega keki ya taifa hadi hapa story ilipoishia?😁
 
Nakunywa mbenge😁😁😁nahusudu pombe ya asili iliyonikuza
Sote ni ndugu mkuu.karibu
7E66F23D-8FBE-4BDA-A99B-2853FD915FA0.jpeg
 
Back
Top Bottom