Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
- Thread starter
- #201
Na hutoweza kuelewa.Kipindi wenzetu mnasindikizwa shule na mkate umejaa jam ya chocolate sisi tulisindikizwa na teke na hatukuelewa, kweli ng'ombe wa masikini hazai
Anyway dada Chakorii ulitaka kusema umeliwa kimasihara au mwamba kakupa wateja yani sielewi
Zingatia namna ya uwasilishaji wa fasihi simulizi na fasihi andishi utaelewa.matumizi ya lugha nyepesi na lugha mkanganyiko kama hii.
😜😜lengo si usumbufu..bali kupima matumizi ya ubongo namna ya kung’amua vitu vigumu 🤪🤪