Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababisha uwezekano mkubwa wa kuachana

Nakubaliana na mleta mada, kuna kipindi nilikua mpole sana kwa mademu zangu ikawa kila siku ugomvi tunaachana akaja kuniambia mwanamke mmoja rafiki yangu amabe ni married kwamba mwanaume unatakiwa uonyeshe ubabe fulani kwa mwanamke sio kila anachokisema unafanya, alisema hata wao wanawake wanapenda mwanaume mbabembabe tangu kipindi hicho kila demu ambae nipo nae ananiheshimu na kunipenda sana
 
wanaume ambao hawajielewi wakiona wanapendwa sana wanakuwa wanyanyasaji.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, utapenda tu ❀️‍πŸ”₯ utake usitake πŸ˜… na atazingua yeye, msamaha utaomba wewe πŸ˜†
 
Kwahiyo mkuu wewee ulikuwa mtu wa ndiyoo kila KITU πŸ˜…πŸ˜…

Leo sikupi....... Ndiyoo πŸ˜‚ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ aisee mbaya sana hiyo
 
Shida ni moyo, unaweza kuwa magharibi wenyewe ukakupeleka mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…