NNa
Nakazia namba 4 ... mkuunaendelea kujifunza
mwanaume rijali;
1. hapendi, anahudumia tu
2. haoneshi uvumilivu au huruma yeyote kwenye tabia zisizoeleweka
3. hatabiriki, hapelekesheki, sio mtu wa mzaha
4. anatafuna mwanamke yeyote anayepita mbele yake
kiufupi ni bulldozer, ni chuma cha reli
😂kina wifi na wakwe wamekufanya nini mkuu, mbona unawasema hivyo?