Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababisha uwezekano mkubwa wa kuachana

Nipo tight na kazi mkononi nataka nitulie nisome yoteee..
 
naendelea kujifunza

mwanaume rijali;

1. hapendi, anahudumia tu

2. haoneshi uvumilivu au huruma yeyote kwenye tabia zisizoeleweka

3. hatabiriki, hapelekesheki, sio mtu wa mzaha

4. anatafuna mwanamke yeyote anayepita mbele yake

kiufupi ni bulldozer, ni chuma cha reli

πŸ˜‚kina wifi na wakwe wamekufanya nini mkuu, mbona unawasema hivyo?
 
Naheshimu, nailinda na kutetea kupenda ni jukumu la Mwanamke
Wakolosai 3:18 Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao. mujibu wa Kitabu kitakatifu cha Biblia jukumu la kupenda ni la mwanaume, mwanamke kazi yake ni kumtii mume wake.
 
Kama hupendi mwanamke basi hu enjoy mapenzi.

Hakuna kitu kitamu kama kugegeda mwanamke unayempenda sana aisee.
Kuna kupenda na kuna kuvutiwa tofautisha hilo mzee. Unapompenda sana mwanamke unakuwa mdhaifu mbele yake. Mwanamke mwenye mvuto tu anatosha kukufanya usikie burudani kumgegeda hata kama humpendi.

Ndio maana wanaume tunanunua malaya na kutongoza ma slay queen ili tufurahie sex ila haimaanishi tunawapenda.
 
Wakolosai 3:18 Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao. mujibu wa Kitabu kitakatifu cha Biblia jukumu la kupenda ni la mwanaume, mwanamke kazi yake ni kumtii mume wake.
Wakolosai wangejua hii mbegu ya nyanda za juu kusini ilivyo na drama wasingehata shauri juu ya kuwa mpole.
 
Uko sawa! Hapo awali nlimpenda sana mtoto wa mtu, ile limit ya kupenda nilivuka kulichotokea hatukudumu nae. Nligundua baadae sana kuwa nilkuwa na wivu sana. Hata ivyo skuhizi spendi tena napemdwa na mishangazi tu haina shida nyingi.
 
Hahahah mwanamke mbishi lazma udili nae kwa ukaliπŸ˜„
ila sisi wanawake wakati mwingine huwa hatujui tunataka nini. mwanaume aiwa mpole sana hatupendi. binafsi kuna wakati nataka nimjaribu kidogo mwanaume akikufokea kidogo utajisikia raha. yaani kuna muda mtu anataka ufokewe kidogo, kuna muda unataka ubembelezwe yaani hatueleweki. πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwanamke ni kwenda nae kitaliban tuu. Lazima ashike adabu
 
Hamna la maana zaidi ya ujinga ujinga tuπŸ˜„
 
Mkuu nadhani Bado hujajuwa tofauti ya make love na sex.

Sex -unaweza Fanya na yeyote hata Malaya Barabarani,
-make love ni Kwa mtu unayempenda tu.

Sasa huwezi kunambiya kwamba eti mwanaume usimpende mwanamke utaonekana dhaifu sio kwl.

Mke /mume wako mna make love na sio sex,,sex unafanya na yeyote hata mbwa au paka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…