Mwanaume akimpenda sana mwanamke husababisha uwezekano mkubwa wa kuachana

Kuna kupenda it blends well with love making. Halafu kuna kupiga sex tu. Hayo nayaelewa.

Nachosemea ni kupenda sana ndio tatizo. Upendo uwe kiasi
 
Sijakupa kazi hiyo mbona, anasema nikupende average tu
Alaaah! Ilikuwaje nikakuonyesha hizo emoj ziliko kwanza 😃😃 umeanza kusumbuaa..

Pendo lisiwe na unafkiii.. enyi wanaumeee wapendeni wake zenu kama Kristo alivyolipenda Kanisa. na nyie wake.. watiini waume zenu… nani huyo tena anataka kwenda kinyume na Andiko 🤣🤣🤣
 
Tunazungumzia kwa kiasi tu
Penda la kiasi

N.B Naongezea sio kwa umuhimu
Ishi kiasi
Hangaika kiasi
Dhambini kiasi
Starehe kiasi
N.B Ndani ya NB Starehe sio Anasa
 
Tunazungumzia kwa kiasi tu
Penda la kiasi

N.B Naongezea sio kwa umuhimu
Ishi kiasi
Hangaika kiasi
Dhambini kiasi
Starehe kiasi
N.B Ndani ya NB Starehe sio Anasa
🤣🤣 kila kitu kwa kiasi sio? Hata nanihiii? Nimeandika nyuma ya diary..
 
Ulichonifurahisha yaani mwishoni ukamtag kijana wangu kabisa,,
Umetisha sana mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…